Tutakumiss sana madame s jamaan me kwakweli huna ulichonikoseaKwenye maisha hua tunafanya mengi sana, mabaya mazuri na mengineyo meeengi. Ikitokea umemkwaza mtu kua mwepesi kujishusha thats how inatakiwa kuwa, ukiona umekosewa then kua muwazi kwa aliekukosea ili usjbaki na jaka la moyo.
Naomba kuwaomba radhi kwa yeyote anaejua nimemkosea by any means anisamehe na alienikwaza kwa vyovyote nimesamehe kwa moyo mweupe
U guys u were more than friends kwangu ni kama family
Nawaaga i wont be here kwa muda usiojulikana kidogo
I love ya'all.
Huko kwa binamu obe kwa mdogo wake mama ashura mvaa shanga 700Anashindaga wapi?
Bata sili na kondoo shemela kambale nakula wakavu jamaan nilionaga kambale mbichi ana roho ngumu mpaka afe alikuwa anapigwa kichwani
Mpigie kabisa baba angu au nikutumie voucher kabisa kama simu haina hela
Magololi avae mdogo wake mama ashura hivi binamu una nini lakini au unanichukuliaje lakini..kwa vile alishazizoe huko, labda wewe uende next level uvae magololi
Muulize binamu obeAfu hivi hizo mavitu zinasaidia nini?
Manake kuna mahali nilipita nikakuta wanapinga kuhusu sanga na wakasema zamani zilivaliwa na wanawake zikiwa na maana fulani fulani...
Mfano; mwanamke akiwa kwenye hedhi atavaa shanga nyekundu so mme akiona tuu anaelewa No game, hivyo na zingine zilikuwa na maana zake pia..
Usicheke
Daaaah ungejuaaWhat for? Huwa naona kama swaga za kichawi mkuu mimi
Uende wapi na mimba ilivo changaUtanujulisha basi utakavyoamua kama haurudi ili nitoke
Basi simpeleki kwa mama mchuchu
Kwenye maisha hua tunafanya mengi sana, mabaya mazuri na mengineyo meeengi. Ikitokea umemkwaza mtu kua mwepesi kujishusha thats how inatakiwa kuwa, ukiona umekosewa then kua muwazi kwa aliekukosea ili usjbaki na jaka la moyo.
Naomba kuwaomba radhi kwa yeyote anaejua nimemkosea by any means anisamehe na alienikwaza kwa vyovyote nimesamehe kwa moyo mweupe
U guys u were more than friends kwangu ni kama family
Nawaaga i wont be here kwa muda usiojulikana kidogo
I love ya'all.
ha ha hahahhahah! huyu kambale katisha!
hata mimi nilimuonaga mmoja, yaani ilibidi wampige risasi πππ
Mambo Bam bamMukongo mambo
Kaa hapohapoWhat for? Huwa naona kama swaga za kichawi mkuu mimi
Daaaah ungejuaa