Makapuku Forum

Makapuku Forum

1461911028256.jpg
nimekubali aisee
 
JANA LILITOKA WAZO KWA BAADHI YA MAKAPUKU KTK KUTAKA KUENDELEZA UMOJA WAO NJE YA JF, NA YAFUATAYO NI MAPENDEKEZO YAO;
Manuu...alipendekeza kuwa na SACCOS.

Bitoz...tutengeneze kikundi chenye malengo tuombe mkopo bank.

Youngblood...tuunde kikundi tulime karafuu.

Ameizing...tuunde kikundi na tuanze mradi/miradi yamuda mfupi na wa kati, mfano kulima matikiti, kufuga kuku wa nyama. Mradi wa muda wa kati ni misitu ya mbao na poles (mirunda, na nguzo)

Haya ndiyo mawazo ya baadhi ya makapuku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom