EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Amina.Ni vyema na haki kumshukuru Mungu
Amina.Ni vyema na haki kumshukuru Mungu
Kweli.Ubinadamu kazi Juma nature aliimba
Morning brotherGood morning people.
Brother shemeji hajambo?Morning brother
Hajambo kabisa.Mzima kabisa. Sijui mwenzake mzima yeye?
Unataka fununu zipi wakati nimekwambia yuko kijijini ameenda kusalimia wazazi.Hajambo kabisa, vipi shem wangu Nahrene hujapata hata fununu?
Shemdarling tena!?Poa mpe hi shemdarling![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bila mawasiliano yoyote?Unataka fununu zipi wakati nimekwambia yuko kijijini ameenda kusalimia wazazi.
Morning shem, uko mzima lakini?Mornie pipoz
Wewe endelea kuongea tu.Bila mawasiliano yoyote?
Hahaa... Hiyo ni danganya toto.
Namshkuru Mungu niko poaMorning shem, uko mzima lakini?
Morning amaizingMornie pipoz
Mornin 2 dada.Morning
njema vp we bishoo.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Morning
Kapukuz
................
Morning to you too..Good morning fellow.... Kapukuuuu.
Nawasalimu katika jina LA Bwana.
Mimi na mke wangu tumeamka swalama.