Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Uchawi ulitoka wap....?6/Papua New Guinea
Hawa waporipori nao kwa ushirikina ni shida
Jamaa wanarogana balaa kiadi cha kuifanya serikali yao itunge sheria kali ili iwe onyo kwao lakini mchawi ni mchawi tu haachi
Mfano katika Enga village wana wake wanne walikimbia kijiji baada ya kuanza kuwindwa kama swala kutokana na tuhuma za kuwangia wanavijiji uchi usiku na mauzauza mengine kibao hivyo ikawa msala kwao
.......
Baba mchungaji
Na timu yake anashabikia mwambie yteMukongoooooo mama mchuchu jamaan alikuwa anakuwaza siku zote ambazo haupo leo kama namuona meno yote nje
My love mic youHunie!
Ctaki kupitwa kwa kweliMke mwee nakuona kwenye kazi yako ya kusoma page kila pageyaan we ni mbea kuskip unaona utapitwa
Kasome post ya utanguliziUchawi ulitoka wap....?
Yan nini chanzo cha ushirikina Dunian...?
Leo mnichukue na mie nikale pilau makinikia kwa mama ashura mvaa shanga 700 jaman
Nmepita mchana mke mweeePoa mke mwee jamaan hatimaye umetufikia umepita kwa king kashusha page kama 6 hivi
Kumbe ni hivyo basi nitakaa kimya baba dMbona ukimwona mkongo akili inaakilikaa??
Nataka aweke nyama kidogo..!Wanini sasa ?
Au unataka mpige dili km la mtu mzito
.......
Nataka Baba D basi sirudiiWewe si hupendi binamu afaidii
Umeona umuhimu wa Mshana jr sasa eeh?Kasome post ya utangulizi
Sielezi uchawi wala sijui nini
Kazi yangu ni kuwaletea nchi 10 maarufu zinazoamini katika ushirikina au wananchi wake wanajihusisha nao
Hivyo maswali mengine mtajibiana wenyewe
Kwanza nishaweka msimamo wangu siamini uchawi wala ushirikina na siujui
.......
Bhinamu unamjua fika aunt yako mimi nimefika naomba chakula anasema eti nirudi nilipokuwa ...ila sijamwambia chochote ....
Unamuona na fitina zake ...
Ila bhinamu ngoja kwanza hivi mama ashura ndo anavojua kupika hivo???
Salaaamu bhinamu
Siwatafuti maneno kweli na mie nataka anifundushe mambo ya shanga 700Unatutafuta manenoo weww