Siku mingi sana aiseeSasa.... Ameondoka kabisa jf au? Nilikuwa namuelewa sana kuna siku tulikesha hadi asb tukiwa Mimi, Briz na Cobblepots halafu kesho yake Szczesny akanuna
Halafu sisi nao eti siku nyingine tulikuwa tunanuniana lol
Utakuta mi siongei na Kiglihahahahaha baadae yanaisha kisha tunaendelea na stori kama watoto yaniila kiukweli natamani siku moja makapuku wote ambao wataweza basi tukutane somewhere DSM tugonge cheers..... Na kupiga stori maana huu uzi nao ni homa ya dengue ama nene......
Hii nayo alibadiliHajaondoka yule "kastaafisha" tu ID zake yupo kivingine hata Genda Heka/Ze Kitabu kabadili ID na kuwa Chaubama sijui
.......
DiktetaOooh narudi kum add Mussolin5
Bila kumsahau Shunie
Kumbeeee sa yule Liz nae ikawaje?? Au ana wake wawili??Huyu jamaa aling'oa chombo kipya..maadam s
Mi hata sihangaiki. Huko naendaga kusoma yaliyojiri tu Ila akiweza atakuja hapa kama haiwezekani basi sio kesiYupo telenenda page # 1 angalia profile lake
....
Tulikuwa tunaiita Isingo part 2 hahahahaHahaha yaani wewe umewahi kunipitisha sana, kisa kipande nilichokuwa naigiza plus jina vilikuwa vinakutatiza.
Nilichojaaliwa sinaga kinyongo ilibidi nichukuliane nawe hivyo hivyo hadi ulipoanza kunielewa.
Ilikuwa ni muvi flan amazing, zile siku ziliweka rekodi ya aina yake mkuu
Nilichojifunza kwa BITOZ ni kusimamia anachokiamini hata kama watu wanakipinga
Ile 100K ilitisha sana na post zilikuwa overlodedHahaha nakumbuka vibuti enzi zetu, mara umemwagwa, mara mnarudiana, yaani ilikuwa fujo tu maadam uzi uende.
Sikilizia wakati wa kuweka rekodi sasa mfano 100k, yaani hakuna kulala kila mtu anarusha mkuki na tunasahau ku like.
Siku hazigndi na hazirudi lkn hutuachia kumbukumbu chungu na taamu pia.
Ahaaa hapo sasa nimeelewaMod haunganishi (merger ID) kama hauItumii kuwakwaza/changanya watu au kutukana au magumashi mengine mfano kitapeli
Hivyo mimi hata nikizitaja ID zangu 300 hawawezi kuziunganisha maana sizitumii vibaya
......
Hongera kwenu
HapanaHii nayo alibadili
Hahahahaha ulivyotaja wazee umenikumbusha yule jamaa mwenye roho ngumu simkumbuki jina lakini yani alikuwa ananiudhi na maneno yake, na akija hapa nilikuwa simpi ushirikiano Ila hakomiNi kweli sisi kama binadamu kila mmoja ana mapungufu yake...kadri tulivyokaa pamoja ndo tulizidi kukomaa na mifarakano kupunguza
Siku hizi hata wazee wapo humu maana ujinga ujinga umepungua kwa kiasi kikubwa
. . ....
Nimekwambia tu sio kwamba nawafuatiliaMi hata sihangaiki. Huko naendaga kusoma yaliyojiri tu Ila akiweza atakuja hapa kama haiwezekani basi sio kesi
Hii nayo kali aiseeNiliwahi kuumizwa sana na Patience123 na Sumbai utafikiri ni kweli. Nilitokea kumpenda sana utafikiri ipo siku tuta...aliponipiga kibuti na kuchukuliwa na sumbai iliniuma kweli.
Japo kwa sasa tu marafiki ni watu wazuri sana
Nakuhakikishia kitu kimoja kuigiza tabia ni ngumu na ipo siku utajisahau labda utumie ID nyingi tofauti tofauti kama GENTA ambaye ana ID zaidi ya 5
Binafsi nishazijua baadhi ya tabia halisi za watu kwa kufuatilia post zao majukwaa mbalimbali
Mfano kuna jamaa mmoja humu Jf ni bingwa wa kutukana akiwa kwenye thread zingine ila hapa KF huigiza upole na mara mojamoja hujisahau
.......
Halafu mtapiga one stand standMimi nitakaa karibu na Sakayo halafu nitampa lift kwenye guta langu hadi Mabibo Mabwawani
.....
Anakujaga hapa mara moja mojaHapana
Nafikiri bado ipo au kafungua nyingine
Huwezi kubadilibaduli ID ovyo ovyo kuna masharti yake
.....
Huyu jamaa nae anastahili kuheshimiwa popote pale alipoNakuhakikishia kitu kimoja kuigiza tabia ni ngumu na ipo siku utajisahau labda utumie ID nyingi tofauti tofauti kama GENTA ambaye ana ID zaidi ya 5
Binafsi nishazijua baadhi ya tabia halisi za watu kwa kufuatilia post zao majukwaa mbalimbali
Mfano kuna jamaa mmoja humu Jf ni bingwa wa kutukana akiwa kwenye thread zingine ila hapa KF huigiza upole na mara mojamoja hujisahau
.......
Sharti apitie kwa ankali, haaaaahaaaaHii nayo kali aisee
Halafu mi mwenyewe sahivi nataka nikitulia nitafute bebi mpya maana maisha haya ya upweke yamenichosha. Ila huyu bebi ni lazima awe na swaga na pia avatar yake iwe ya kuvutia kabisa...... Hahahahaha crazy Jimena