Yaani ni kama vile chitchat ya wenye PhD kuna wataalamu wa mambo kibaoYap, wapo watu na heshima zao, naamini tuliutendea haki uzi huu as long as uko chitchat
Moyo wa mtu ni kichaka ujue hilo. Fake id zinaficha mengi SanaMwandiko unadanganya plus Ids, usiconclude kwa Id wala mwandiko, watu tunaficha mengi sana, naweza kuigiza utaahira flani humu kuwajua matahira, endapo utaingia mkenge kwa hilo, misheni done.
Tumkumbuke mpenzi wa Jimena lkn alivyotuacha wakati tumemwamini sana, tulibaki na maswali. Mtu alikuja na misheni zake, alpoona lengo tayari akang'oa..naweza kuwa siko sahihi kwa hili pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Girl: Baby kila sikukuu za eid zikifika wenzangu
wanapelekwa out na baby zao mara
serengeti, mara Zanzibar kwann
wewe hunipeleki?
Boy: sikukuu hii nitakulepeka
Girl: waooooo bby asante umeplan
kunipeleka wapi?
Boy: ntakupeleka KIBITI
Gil: nyoooo!! kafe mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibiti hakufai kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Facts Mwandiko na Ids havijuz mtu n wa aina ganMwandiko unadanganya plus Ids, usiconclude kwa Id wala mwandiko, watu tunaficha mengi sana, naweza kuigiza utaahira flani humu kuwajua matahira, endapo utaingia mkenge kwa hilo, misheni done.
Tumkumbuke mpenzi wa Jimena lkn alivyotuacha wakati tumemwamini sana, tulibaki na maswali. Mtu alikuja na misheni zake, alpoona lengo tayari akang'oa..naweza kuwa siko sahihi kwa hili pia
Nakuhakikishia kitu kimoja kuigiza tabia ni ngumu na ipo siku utajisahau labda utumie ID nyingi tofauti tofauti kama GENTA ambaye ana ID zaidi ya 5Mwandiko unadanganya plus Ids, usiconclude kwa Id wala mwandiko, watu tunaficha mengi sana, naweza kuigiza utaahira flani humu kuwajua matahira, endapo utaingia mkenge kwa hilo, misheni done.
Tumkumbuke mpenzi wa Jimena lkn alivyotuacha wakati tumemwamini sana, tulibaki na maswali. Mtu alikuja na misheni zake, alpoona lengo tayari akang'oa..naweza kuwa siko sahihi kwa hili pia
Et kujisahau[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuhakikishia kitu kimoja kuigiza tabia ni ngumu na ipo siku utajisahau labda utumie ID nyingi tofauti tofauti kama GENTA ambaye ana ID zaidi ya 5
Binafsi nishazijua baadhi ya tabia halisi za watu kwa kufuatilia post zao majukwaa mbalimbali
Mfano kuna jamaa mmoja humu Jf ni bingwa wa kutukana akiwa kwenye thread zingine ila hapa KF huigiza upole na mara mojamoja hujisahau
.......
MorningMorning shem
Same to youNjema kabisa Eid pili mubarak
Be blessed[emoji120] [emoji120] [emoji120]
We unaadimikaaaGood 6k ahead pigeni kazi.
Minal faidhinaBlessedhope, werrason, Bitoz, Mussolin5, Sakayo, Shunie, Transcend, Mondray, shululu, Tumosa, Tmuller, QUIGLEY, husna muba, Shedebe, Nyoka_mzee, Dingimtoto, toxic9, fakalava, Clkey, bullar na wengine wengi.
Nakutakieni Eid Mubarak
Morning hunieMorning lovie
Wakwake????Naona kaka Bitoz amekuwa mfano wa kuigwa..
Keep it up mkuu..!
[emoji38] [emoji38] hapana chezea hang over za sikukuuAsantee shululu kwa magazeti ...leo napiga pooooo UF ....mpaka kesho
Mkushi wewe ni jirani, mie ni Mhabesh..Facts Mwandiko na Ids havijuz mtu n wa aina gan
Library imekauka mkuu [emoji1][emoji1]Tupia picha zako zile..[emoji3][emoji3]
Sawa kiongoziSi unajua tena.... Tunajaribu kuweka sawa mahesabu.