Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Imekuwa Vipi tenaSitaki ndio ujue nimechuniwa halaf sijui kosa langu![]()
ebu niacheni jamaan
Msalimie sanaSafi sana Mr Lee yupo poa kabisa
Sio yeye kwani me simjui sakayoNishatupia picha yake hapo juu ..![]()
Eeka mbee2/Christmas![]()
![]()
![]()
Husherehekewa Disemba 25
Wakristo duniani note husherehejea kuzaliwa kwa mwokozi Yesu Kristo .....Alizaliwa na Bikira Maria(Mariamu} baada ya kupata mimba kupitia uwezo wa Roho Mtakatifu{usiniulize zaidi)
Inasemekana iliwekwa makusudi Disemba 25 ili "kuifunika" sikukuu ya wapagani ambao walikuwa na kasherehe kao kila inapofika Siku hiyo
Huko Korea Kaskazini huruhusiwi kusherehekea sikukuu hii na ukikamatwa na bwana mapanki kitakachokupata mimi sijui
.......
Zimefika mshkaji wangu msalimie pia madame sMsalimie sana
Fresh kamandaWoyoooooooo!
Naje bailly
JamaniiiiNgoja nitikise kiberiti kwanza
Ngoja nimuite lee mkalale...Oooh kulala vile basi sawa T
2/Christmas![]()
![]()
![]()
Husherehekewa Disemba 25
Wakristo duniani note husherehejea kuzaliwa kwa mwokozi Yesu Kristo .....Alizaliwa na Bikira Maria(Mariamu} baada ya kupata mimba kupitia uwezo wa Roho Mtakatifu{usiniulize zaidi)
Inasemekana iliwekwa makusudi Disemba 25 ili "kuifunika" sikukuu ya wapagani ambao walikuwa na kasherehe kao kila inapofika Siku hiyo
Huko Korea Kaskazini huruhusiwi kusherehekea sikukuu hii na ukikamatwa na bwana mapanki kitakachokupata mimi sijui
.......
mapankiEee
Ndio tena juzi juzi tu hapa sidhani km imefika hata mweziKumbe Mzee Chifupa alikufa?
Aaaaaaassssh!Twende zetu chumbani
Missing you badly
Njoooo huku baaaasiSitaki ndio ujue nimechuniwa halaf sijui kosa langu![]()
ebu niacheni jamaan
Hongera kwa 224KAkuuuh!
Nakuja
Twende tuu bhanaAaaaaaassssh!
Nakujaa! Natafuta vibes hapa