Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Njoo basi jamaniNakuja kwa leo...
Si aunti hayupo?
Njoo basi jamaniNakuja kwa leo...
Si aunti hayupo?
Nakusubiria my loveNgoja nijeeee mke wangu
HeeSitakiiiiii
Picha basi msisahauNakusubiria my love
Ndiwooo tukeshe nae wote
Yaani wewe na picha sijui umelogwaaPicha basi msisahau
NitajitahidiNdiwooo tukeshe nae wote
Yaani wewe na picha sijui umelogwaa
hata sijui ujue nikiona picha najisikia Amani usisahau dada basi kunitumiapo
Hapo sawaNitajitahidi

Ujue niko dar![]()
hata sijui ujue nikiona picha najisikia Amani usisahau dada basi kunitumiapo
Nzuri sana za huko kwako na madame sHabari za Eid humu ndani
Mimi siyo mwislamuKumbe ni ya siku moja na eid pili jee
Nitajuaje sasa mieUjue niko dar
au nimekuwa nabii
SawaMimi siyo mwislamu
Ndo maana nimeandikwa waislamu fafanueni zaidi nikiwa na maana sina elimu kuhusu uislamu
......
MwamposaNitajuaje sasa mieau nimekuwa nabii
Safi Tu. Vipi kwako na Mr LeeNzuri sana za huko kwako na madame s