Ni ukwale wangu?
Sawa mama! Ila mkivaa hayo madera basi mpitishe khanga moja kiunoni na ingine mfunikie kichwa..
Tatizo ni hizo tabia za Shunie Bonge kuvaa Dera la Tumosa ambae ni mwembamba...
Badilikeni aisee
mm cio mwembamba wala mnene so dera langu anavaa tu ucwe na hofu shemelaNgoja tuunde tume ya kukuchunguza kama wewe ni mnene au mwembamba..![]()
![]()
mm cio mwembamba wala mnene so dera langu anavaa tu ucwe na hofu shemela

Sio kwa mtekenyo ule wa jana...!Hahaha
Una tabia ya kusepa bila kuaga ujue...
Huna haja ya kuunda tume muulize Shululu wnhu atakujuzaNgoja tuunde tume ya kukuchunguza kama wewe ni mnene au mwembamba..![]()
Hii serikali kiboko haitaki kupigwa