Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ngoja nimchape kofi badala yako mkuu..Dear shem kipenz ..usiquote simulizi unawakera wenginee plz...

Nipo my crush!!!Kaah!
Upo?
Huyo mbaba vipi?

Nimewamis poaAsantee ..Tumekumis
Hahaa..Huna haja ya kuunda tume muulize Shululu wnhu atakujuza
Minal Aidina walifaizin Sheikh..Hii serikali kiboko haitaki kupigwa
Kila anayewapinga kwao anakiwa adui yaani wanataka tu ndiooooooo
TLS waliitishia lakini ipo inadunda
NDO's nazo wanazotishia
Wafanyakazi wanatishiwa
Wafanyabiashara wanatishiwa
Wanasiasa wanatishiwa
Wasanii wanatishiwa
Sasa sijui wakati wa Uchaguzi watapogiwa kura na mbuzi? au wanategemea wakulima wasio na elimu wala kujua yanayoendelea nchini
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
Eid Mubarak
......
Nimekumiss...my crush..Nipo my crush!!!
Mbongo alivyo na njaa huyo samaki angegeuzwa kitoweo fasta
Pamoja sana bitozHii serikali kiboko haitaki kupigwa
Kila anayewapinga kwao anakiwa adui yaani wanataka tu ndiooooooo
TLS waliitishia lakini ipo inadunda
NDO's nazo wanazotishia
Wafanyakazi wanatishiwa
Wafanyabiashara wanatishiwa
Wanasiasa wanatishiwa
Wasanii wanatishiwa
Sasa sijui wakati wa Uchaguzi watapogiwa kura na mbuzi? au wanategemea wakulima wasio na elimu wala kujua yanayoendelea nchini
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
Eid Mubarak
......
Samahani mtoto wa Mao, leo magari yamegongana
BarikiwaAmeeeeeeiiiiiiniiiii mama mchungaji
Hongera![]()
Mchezaji wa Kimataifa na kipenzi cha wana-Simba wengi Emmanuel Okwi leo amesaini rasmi kandarasi ya miaka miwili kuichezea klabu ya Simba.
Akisaini kandarasi hiyo mbele ya makamu wa Rais Geofrey Nyange 'Kaburu', Okwi ameahidi kuhakikisha anapambana akishirikiana na kikosi kizima cha Simba kuhakikisha Simba inafanya vizuri kwenye ligi kuu na hata kwenye mechi za kimataifa.
'Ahadi yangu ni kwamba nitashirikiana na wachezaji wenzangu kuhakikisha tunawapa furaha wana-Simba wote kwa kupata matokeo mazuri katika michuano yote klabu ya Simba itakayoshiriki' alisema Okwi alipoulizwa na na Simba News kuhusiana na ahadi yake kuelekea msimu ujao.