Obe in mpendwa wangu tu baasi bado hatujawa wapenzi ni nyinyi ndio mnaotupenzishaRas ni ajee?
Hivi haya mapenzi yako ba Husna mnachat Pma ama? Manake hapa naona kama vile hamjuani [emoji3][emoji3][emoji3]
Husna tatizo ni nini? Au mnapiga party la kimya kimya na Obe?
Good answerHa haaaahaha. husna muba sina hakika kama ana pm, sisi ni wapendwa, for now
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Nilifunga, ndo maana hata yakiandikwa ya kunikera au kunitukana, napotezea nasubiri futru na daku