Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mie nina idea za kilimo cha Muda mfupi like vitunguu na watermelon... Also I have idea ya ufugaji WA kuku za kisasa hasa WA nyama
Always napenda project za Muda mfupi two months to three months

Project ninayoikubal ya Muda mrefu ni 7 to 10 years ni ya miti ya mbao na poles (mistimu)

So I know Kuna watu watamu WA proposal humu ndani na finance.. We can do something great if we can join together kwauaminifu

Hayo ndio yangu......
Karibuni
Shemeji unaweza kutoa mchanganuo kidogo kuhusu hii ishu ya mbao...profit vs expenses.
Maana huku kwetu pia naona hii biashara ipo!
 
makapuku wa jf hamjambo?mtabaki kuwa makapuku hadi milele.

swissme
Asante kwa maombi yako.
f65122eb4ab694a6c1ac6fd757706429.jpg
 
Mie nina idea za kilimo cha Muda mfupi like vitunguu na watermelon... Also I have idea ya ufugaji WA kuku za kisasa hasa WA nyama
Always napenda project za Muda mfupi two months to three months

Project ninayoikubal ya Muda mrefu ni 7 to 10 years ni ya miti ya mbao na poles (mistimu)

So I know Kuna watu watamu WA proposal humu ndani na finance.. We can do something great if we can join together kwauaminifu

Hayo ndio yangu......
Karibuni
Mawazo kama haya ni nadra kuyapata, nimeyanakili pembeni
Asante sana wifi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom