Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Pole sana.Marhabaaa mwanangu, dawa mmepata? vidole na macho yanauma. Nimechoka mimi, nimechoka mimi nimechoka sana ndiyo maana naomba wanangu/wajukuu mnitafutie mbadala wa JF. Mod ila msinipe ban sababu nitajinyonga. Niache ila nitafutie dawa labda umeme ukatwe kila baada ya masaa mawili esp. wakati huu wa mvua utaenda wapi nasisi wazee tunasubiri kabaridi na kamoto pembeni.