Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Bora iwe hivyo shemeji maana bro povu litamtoka.Wala hamna hiyo
Bora iwe hivyo shemeji maana bro povu litamtoka.Wala hamna hiyo
youngblood hajaachwa ila Nahrene kaenda kijijin kusalimia wazazi so soon atarejeaKaaachwa kumbe duuu pole youngblood aisee kua single tu kama mimi
Asante shemeji.youngblood hajaachwa ila Nahrene kaenda kijijin kusalimia wazazi so soon atarejea
Naongea kama msemaji WA familia
Shem mie npo ila hlo jina LA shemdarling linaleta utata hapa mtaani kwetu
ShemuShem mie npo ila hlo jina LA shemdarling linaleta utata hapa mtaani kwetu
Asante shem.Zimefika....anasema asante
HahahahahahaaaaSasa uliyajua yote hayo ulifata nini?
Pita hivi![]()
![]()
kitabu usichokielewa ujue hujaandikiwa wewe.
Nipo nimejaa teleXimena upo??
youngblood ni sawa sawa na kisu kilichokosa makali(butu)Nawewe umempindua youngblood??????
Ha Haaaa Haaaa..... Kijana wangu youngblood nakuamini ila unanitia mashaka
Nilikumis sana.Nipo nimejaa tele
Ndo maana yake.Hivi youngblood nae ni single siku hizi? Hatari sana
Mkuu vipi mbona umefurahi sanaHahahahahahaaaa
Sijaona msg yako ulisemaje kwani??Bibie mbona hujanijibu
Bibie naweza pata hifadhi?Sijaona msg yako ulisemaje kwani??
Nimefurahi umefukuza inzi wa kipindupindu jinale grantaMkuu vipi mbona umefurahi sana
Ha haaaaa naona analeta kipindupindu hapaNimefurahi umefukuza inzi wa kipindupindu jonale granta
Hifadhi gani??Bibie naweza pata hifadhi?
Bibie huoni hali ya hewa bibieHifadhi gani??
Sasa hali ya hewa imefanyaje?? Mbona ipo kawaida tu??Bibie huoni hali ya hewa bibie
Bibie baridiSasa hali ya hewa imefanyaje?? Mbona ipo kawaida tu??