Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Wasamehe hawajui walitendalo[emoji38]Kwa masimango mnayoyafanya siwapi hata kongoro
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Wasamehe hawajui walitendalo[emoji38]Kwa masimango mnayoyafanya siwapi hata kongoro
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Afu weweeMkoba wa laki 5 ule
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Pole weee!Yaani hapo kila nilivyokuwa nashangaa nilikuwa naona haitoshi
[emoji18] [emoji18] vip kule mahali utaweka muda ganiWee naeee.....
Ohooo karibu sanaNimeisha fika my swi
Shukurani mkuuEnd![]()
.....
Minal faidhinaEid Mubarak Makapuku! [emoji38]
Asante sana mama watoto wanguOhooo karibu sana
[emoji38] [emoji38]And happy New year..
[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usijali tupo pamoja T wa Sakayo,ukweli nimecheka unanifahamu vizuri kumbe[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ubarikiwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] niwaacheUje useme unaishi Tandahimba tena eeh? [emoji3][emoji3]
Hapo chachaMkulu haambiliki
Ni jeuri & kiburi
Nani atamfunga paka kengele ?
....
Mama yangu umefurahi hautasumbuliwa tena sasa wakuache na mukongo wako[emoji4] [emoji4] [emoji4]
AiseeeIkiwa kesho ni Sherehe za Eid sio mbaya tukajua haya mambo muhimu. ..
MAANDALIZI YA EID
Zijue aina kuu 3 za pilau
1. Pilau Mjazo
Hii ni aina ya pilau ambayo ina nyama nyingi.
2. Pilau Makinikia
Aina hii ya pilau, nyama ni za kutafuta, hazionekani juu mpaka uunde tume.
3. Pilau Mfuto
Pilau hii huwa haina nyama, sanasana utaambulia viazi
Wenye kazi yenuHaijapanda bei anko, ladha ni ile ile sema si ulizoea zile geisha bonge, sasa kuna geisha miss potabo. Huwa naziona dukani
Nunua tecno ya sabuniNipo ubungo hapa jamani toka mkoani kuna jamaa anataka kuniuzia tecno C9 kwa elfu 40 vipi nimpe?
Bahati nzuri ni wapi?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bongo bahati mbaya
Pouwah umepita kwa iddy watu washamaliza storyNambie