BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nambie[emoji23] [emoji23] [emoji23] mke mwee
[emoji134] [emoji134] wanisamehe bure mweeeUjue utavunja ndoa ya watu...
Ndio kwanza wako honeymoon Ibiza..
Usinambie madenge, ilikuwaje mpaka akausahauMkoba wa laki 5 ule
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Anacheza auKichuya 2...
KaribuNimeumis huu upande mupoo
My swi uko poa lakiniUsinambie madenge, ilikuwaje mpaka akausahau
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Shikamoo mama mchuchu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji2] [emoji2] [emoji2]
Uchambuzi huu ni kwa udhamini wa binamu eeeehIkiwa kesho ni Sherehe za Eid sio mbaya tukajua haya mambo muhimu. ..
MAANDALIZI YA EID
Zijue aina kuu 3 za pilau
1. Pilau Mjazo
Hii ni aina ya pilau ambayo ina nyama nyingi.
2. Pilau Makinikia
Aina hii ya pilau, nyama ni za kutafuta, hazionekani juu mpaka uunde tume.
3. Pilau Mfuto
Pilau hii huwa haina nyama, sanasana utaambulia viazi
Marahaba dear za uzima[emoji3] [emoji3] [emoji3] Shikamoo mama mchuchu
Sanaaa..umefurahi eeh?
Hny[emoji8] [emoji8]Anacheza au
Sanaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unaacha kumpa maua unashangaa shangaa shaurio..umefurahi eeh?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] unaacha kumpa maua unashangaa shangaa shaurio
Nko poa Hny wngu nmekumic ujue[emoji7] [emoji7]My swi uko poa lakini