Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
I wish i cld be samiaMkulu haambiliki
Ni jeuri & kiburi
Nani atamfunga paka kengele ?
....
I wish i cld be samiaMkulu haambiliki
Ni jeuri & kiburi
Nani atamfunga paka kengele ?
....
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwezi haujaandama labda J4
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
....
SafiEnd![]()
.....
Mie Situmii bhana...Leta hiyo dompo basii..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie Situmii bhana...
Kwa nini unachepuka lakini
Vipi shem[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NipooooVipi shem
Tumekumis piaa ...uko poa??Nimeumis huu upande mupoo
Sijambo kabisa wekeend inasemajeTumekumis piaa ...uko poa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Ikiwa kesho ni Sherehe za Eid sio mbaya tukajua haya mambo muhimu. ..
MAANDALIZI YA EID
Zijue aina kuu 3 za pilau
1. Pilau Mjazo
Hii ni aina ya pilau ambayo ina nyama nyingi.
2. Pilau Makinikia
Aina hii ya pilau, nyama ni za kutafuta, hazionekani juu mpaka uunde tume.
3. Pilau Mfuto
Pilau hii huwa haina nyama, sanasana utaambulia viazi
Geisha kwani ishapanda beii??
Ni Husna wa Obe
Kwangu alikuja kusalimia tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
....
Ewaaaaaaa!
Namuona mama mchuchu anafurahi kweli...manake anapumzika sasa [emoji3][emoji3]
Nb: natania tuu mama mchuchu