Makapuku Forum

Makapuku Forum

Uko sawa sana Mumy kwani uaminifu siku hizi umekuwa ni changamoto sana japo nadhani kupitia dhana hiyo basi na watu wakipatikana wa kutosha wanaweza anzisha kitu hata kwa wale watu wanaoishi mkoa mmoja ama mikoa iliyo karibu mfano watu wanaishi Arusha na Mosh kwa pamoja wanaweza anzisha kitu then ikawa ni walikutana kupitia KAPUKU's Forum mpaka wakaweza anzisha ishu inayoonekana....
Kuna kikundi tuliungana kwa ajili ya LEGAL ISSUES tukajinyima kwa michango na kuandika PROJECT za kufa mtu ...baada ya kukamilisha si jamaa wakaingia mitini kimyakimya na kufungua kampuni ya watu wa5 na kujiita FOUNDERS
Yaani wameiba jasho,pesa na mawazo yetu
Lakini naamini MAFANIKIO HAYAPATIKANI KWA DHULUMA...wakikwama watatukumbuka coz Umoja ni nguvu
Lkn tushawapotezea
Usimuamini mtu issue za pesa

....................
 
Polen sana..Hakika uaminifu umekuwa ZERO kabisa siku hizi ila Bitoz hoja hapa imekuja kwamba kwa wingi wetu hapa na umoja tuliouonyesha kama KUPUKU ni nin tunaweza anzisha ikiwa ni faida ingine kwetu mbali na hii ya kuwa pamoja na kujadili hoja hapa, Wazo lako tafadhali tupo kama Prezdaa CC youngblood
 
Mkuu huwezi kuepuka hasara, usipoingizwa chaka utapoteza kwa namna moja au nyingine, ck zote wanaoogopa hasara huwa hawapigi hatua zaidi kwani kila biznez ina risk zake. Kati ya watu 100 huwezi kikosa waaminifu 5.
Katika hili la ushirikiano wenye tija lazima pawepo ulinzi wa kisheria kwa kila member.
 
Labda chama cha siasa huko ndiko kidogo kuna uaminifu. Kwenye hela
 
Mkuu huwezi kuepuka hasara, usipoingizwa chaka utapoteza kwa namna moja au nyingine, ck zote wanaoogopa hasara huwa hawapigi hatua zaidi kwani kila biznez ina risk zake. Kati ya watu 100 huwezi kikosa waaminifu 5.
Katika hili la ushirikiano wenye tija lazima pawepo ulinzi wa kisheria kwa kila member.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote kabisa mkuu wangu na hata ikibidi kuwekeana udhamini...Ni poa kabisa..
 
Imagine vile wanavyotubania lakini bado tu kwenye top 10 tunashine mbayaaa
Mpaka raha yanii maana sio kwa kuwakimbiza hukuu
People chovu km Ngedere Ungabu na Ngariba Faizer watuzidi kwa kitu gani labda wingi wa post tu sioni ubunifu wao wowote
48e8e744c24a00154883ff9fdbd60e1e.jpg

...............
 
Kuna kikundi tuliungana kwa ajili ya LEGAL ISSUES tukajinyima kwa michango na kuandika PROJECT za kufa mtu ...baada ya kukamilisha si jamaa wakaingia mitini kimyakimya na kufungua kampuni ya watu wa5 na kujiita FOUNDERS
Yaani wameiba jasho,pesa na mawazo yetu
Lakini naamini MAFANIKIO HAYAPATIKANI KWA DHULUMA...wakikwama watatukumbuka coz Umoja ni nguvu
Lkn tushawapotezea
Usimuamini mtu issue za pesa

....................
Poleni sana

Nadhani Issue za hela ziwe zinafanywa kwa makubaliano ya kisheria sio kwa kuaminiana hivi hivi tu
 
Jimena Social media iko na faida kubwa mno ya kwanza ni kukutanisha watu..Hiyo yenyewe tu ni fursa kubwa sasa hapa tumeshakutana na tupo wengi sasa tunatumiaje huu urafiki wetu kama KAPUKU's? Nadhani tunaweza kuja na idea nzur sana ambayo chimbuko itakuwa hapa...
Hakika hilo linawezekana na tutakuwa mfano wa kuigwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom