ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Kweli.[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hamna kabisa, labda uwe na bibi yetu niah tuwe tunakuita babu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli.[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hamna kabisa, labda uwe na bibi yetu niah tuwe tunakuita babu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Zimefika....anasema asanteMsalimie sana braza Th Name.
Ukiwaza sana ishu za Polifix utakonda kushinda ht mbuUkitaka kujua watengenezaji wa barabara zetu ni mbumbumbu wa kufikiri wakati wa mvua kunyesha pita tangi bovu mbezi beach ni mafuriko kwakwenda mbele
Mkuu naomba nieleweke vizuri.youngblood hajui kumbembeleza mwanamke ndo maana kaachwa na shem.
Huyu hana mtu jaribu bahat yako mgeniMwenyeji asante hayo maji ya Gold sasa[emoji39] [emoji39] [emoji39] sijui founder ni nani.
Eti mrembo na wewe tayari uko booked?
Mkuu hii ndiyo Tanzania yetu.Ukitaka kujua watengenezaji wa barabara zetu ni mbumbumbu wa kufikiri wakati wa mvua kunyesha pita tangi bovu mbezi beach ni mafuriko kwakwenda mbele
Habari ndio hiyo sasaHt sikujua
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
...............
Kama kumsadia kuzima taa.Kama part ipi?
[emoji3]
Aisee bro mbona tunavunjiana heshima.Masingle mbona wengi sana, kuna akina youngblood, sizzya007, ibra87 na wengine kibao.
Mkuu, karibu ili muanzishe chama chenu.
Asante mkuu kwa taarifa. Ngoja arudi nijaribu zaliHuyu hana mtu jaribu bahat yako mgeni
Hallo Mpenzi wangu.[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji173] [emoji173]
Ipo siku utabahatishaHabari ndio hiyo sasa
Bado Mimi tu
Mkuu wa ubavu wako maana si kwa baridi hiiHahaa... yupi tena kijana?
Kaaachwa kumbe duuu pole youngblood aisee kua single tu kama mimiyoungblood hajui kumbembeleza mwanamke ndo maana kaachwa na shem.
Dogo ananitafuta maneno.Hivi youngblood nae ni single siku hizi? Hatari sana
Hi hny..how r u duin' na hii baridi?Hallo Mpenzi wangu.
Ha Haaaa EMMYGUY Si alizembea na youngblood akatia kambani.....Hahahah umenikumbusha kuna siku shemeji yangu mmoja aggyjay alimwiita jamaa mmoja youngblood hilo jina lilileta shida hapa ndani hapakutosha aisee nadhani ndugu yangu EMMYGUY atasoma hii kitu..
Umeona wapi mtu anakanusha ukweli.!?Umenichafulia sana jina la ndoa yangu, naomba ukanushe kutoka na mke wangu aggyjay.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]