[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Najua Mama yangu kama unayapenda ndio mana nakupa sababu anayekupa hayupo baba mchuchu [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji263] [emoji263] [emoji263] [emoji263] [emoji264] [emoji264] [emoji264] [emoji264] [emoji262] [emoji262] [emoji262] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Shikamoo Mama yake shunii umeamkaje mama [emoji4]
Binamu fursa hii ujue we endelea kugonga like halaf utabaki kulia lia na kuniambia auntie unanichukia
Asante shemela wa mimi apa kwa magazetiView attachment 530236Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa BH,Mama mchungaji
Nawatakieni jumapili njema
Marhaba mpenziiShikamoo Baba D
Eti Baba D na hii hotel ya wanyama huku mtaani kwetu ni yake eenhNiyonzima tena ??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nimeona Victor Wanyama mchezaji mzaliwa wa kenya anayekipiga Spurs ambaye kiukweli soka la kenya analipatia sifa ...na kwake pia Jana kwenye mitandao hope ni kweli huku kwetu Dar es salaam ubungo[emoji20] [emoji20] [emoji20] kapewa mtaa kwa jina lake ...ok ni nzuri na kiukweli ni heshima kubwa ...swali Langu Huyu Mkenya kasaidia nini hapa kwetu au hapo Ubungo mpka anapewa heshima hiyo kubwa wakati kama kigezo mpira mbona tunao wengi hapa wakongwe na wanaondelea kuipeperusha bendera yetu....
Haijaniingiaa akilini
Na kwako pia Baba D asante kwa story na uf ubarikiwe [emoji255] [emoji257] [emoji254] [emoji259] [emoji253] [emoji8] Love you
Hiyo gest yenu labdaaEti Baba D na hii hotel ya wanyama huku mtaani kwetu ni yake eenh
Nawe pia mkuuTuwe na jpili njemaa
Swty shem
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sana aisee
It's touching......
Asante Bitoz uwe na jumapili njemaEnd
......
Nawe piaView attachment 530236Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa BH,Mama mchungaji
Nawatakieni jumapili njema
Binamuuuu kweli umeamua kuweka silaha chini kwa mama yanguUnataka niandike nini tena kueleza navyovutiwa nawe upendwani
Na kwako pia madame s tunakupenda piaGood morning
Hope ya'all good,
Nawatakia jumapili njema na eid njema kwa wale waliofungua leo and mfungo mwema kwa wanaomaliza leo
Nawapenda.
[emoji7] [emoji7] [emoji8] una maksudi ujueNa kibarashiaa changu swafiiii kwa ajili ya mwaliko
Baba D nini jamaan[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Dada espy jana alikuwa anakuulizia sana sijui mlionana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo gest yenu labdaa