Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nakupenda Baba D jamaan
f49430173c174d0452cf8be9cb992d56.jpg
 
Safi dada za wewe umeamkaje ujue alirudi na id nyingine ya 3 inaitwa ipy tukawa tunachat chit chat kwenye uzi wa wapendanao wakina bonny na daby walikuwa wanamtania sana maskini auntie yangu kuwa wamwitie kiboko yake anayesababisha anabadili id kila siku

Badae usiku ikafunguliwa id yake ya espy akakuulizia sana nikamwambia nilimuona juu kwa juu kapuku
Jamaniiii, pole yake....

Ukimuona Msalimie mwaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom