Makapuku Forum

1978 - Juan Roman Riquelme anazaliwa.

Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Boca Juniors, Barcelona, Villareal na timu ya taifa ya Argentina.

Mmoja kati ya viungo bora kuwahi kutokea katika soka.
HBD Juan Riquelme

Nakumbuka alivyo kosa penati kwenye mechi ya Villarreal na Arsenal

Na matumaini yote ya washabiki yalikuwa kwake

Na siku zote penati zenye pressure huleta fadhaa sana kwa mpigaji

Pillo na Totti hicho kizingiziti walikimudu sana
 
Kevin Nolan mtata sana

HBD Kevin
 
Tahadhari Uzi wa likes una 41k
Sasa inatuhusu nini?
Au u nafikiri tupo hapa Jf kushindana kufanya/kupost ujinga ?
Fikisheni hata reply bilioni 1 na kila mtu apewe like 100000000000000000 ni juu yenu maana hakuna anayewawekea bando

Nashangaa mnahangaika na sisi wakati sisi hatujishughulishi wala kushindana na mtu bali tunajishughulisha na shughuli zetu
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…