Bendera za Zanzibar kabla ya Muungano wa kimagumashi na Tanganyika
Okello ni Mjaluo wa Uganda/Kenya licha ya kuongoza mapinduzi
historia ya ushiriki wake haisemwi sababu siyo Mzanzibar
Amemsaidia Karume kuonekana shujaa yaani Okello hakuhitaji madaraka .....kisha Karume baada ya kuweka madarakani akamgeuka
.......