manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Pamoja sana ndugu yangu....Basi tujichanganye tufanye hivyo braza
Pamoja sana ndugu yangu....Basi tujichanganye tufanye hivyo braza
Vipi kwema lakini?Pamoja sana ndugu yangu....
Kwema sana mkuu tunakimbiza kama kawa...Adje pande hizo?Vipi kwema lakini?
Pande hizi kwema kabisa. Tunamshukuru MunguKwema sana mkuu tunakimbiza kama kawa...Adje pande hizo?
Karibu mkuuNa mimi kapuku aisee
Nipo kijanaparoko kumbe upo.
Paroko gani mwingine?paroko mbona haonekan.?
Jimena umefukuza mgeni..nellwanHapo sasa
Basi inabidi tuanzishe kampuni.Kwa umoja huu wa makapuku ingekuwa kampuni uzalishaji wake ungetisha bara zima la Africa
It is possible wakuuBasi inabidi tuanzishe kampuni.
Hee... Wewe kijana! Unamtaka mke wangu wa nini?Mkuu wa ubavu wako maana si kwa baridi hii
mfano tunaweza kufungua kampuni ya nini?It is possible wakuu
Acha wadau waanze mimi ntakuwa wa mwishomfano tunaweza kufungua kampuni ya nini?
Braza youngblood njoo huu uungane na huyu jamaa muunde chama.Kaaachwa kumbe duuu pole youngblood aisee kua single tu kama mimi
Tuambie bro, mimi nakuaminia.Acha wadau waanze mimi ntakuwa wa mwisho