xavia jr
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 916
- 1,905
boss upo.?Huu mwendokasi hadi kwenye mvua sio hivyo sasa
boss upo.?Huu mwendokasi hadi kwenye mvua sio hivyo sasa
Ndugu yangu na kwa hali hii ya mvua ni shida kubwa mno...Hiyo ndiyo ilikuwa lunch ya leo kwa my one and only wife amaizing ila walikuwa na lizziebettie pamoja..Braza hivyo vitu tu ni matata sana aisee.
Nipo ndugu. Vipi mafuriko pande hizo?boss upo.?
Hii mvua nuksi. Mlikuwa pande zipi tena?Ndugu yangu na kwa hali hii ya mvua ni shida kubwa mno...Hiyo ndiyo ilikuwa lunch ya leo kwa my one and only wife amaizing ila walikuwa na lizziebettie pamoja..
Boss vpboss upo.?
Mkuu nlikukosaa.Nipo ndugu. Vipi mafuriko pande hizo?
Niko poa tu. Vipi wewe bro?Mkuu nlikukosaa.
Nashukuru umerud. Swalama braza
Huku mafuriko hamna boss, ila hii masika mwaka huu kuna kitu inatafuta.Nipo ndugu. Vipi mafuriko pande hizo?
Anafikiri watu wote wako aliko yeye nini!Sasa hali ya hewa imefanyaje?? Mbona ipo kawaida tu??
kwema boss na hii mvua wadau mmepotea.Boss vp
Mkuu ilikuwa Sea Breeze Resort bila shaka Shemeji yangu lizziebettie na wife amaizing wali- enjoy ila nakumbuka tulisema week end itabidi tutafute sehem tutulie kidogo mkuuHii mvua nuksi. Mlikuwa pande zipi tena?
Hapo sasaAnafikiri watu wote wako aliko yeye nini!
Hana ukali anataka kuona kama unamaanisha, mrushie m pesa kwanza kama 700,000/=Duh bibie we mkali?
Umenikata stimu
Nakumbuka sana kaka. Sema na mvua hii huko sea breeze palikuwa poa kweli?Mkuu ilikuwa Sea Breeze Resort bila shaka Shemeji yangu lizziebettie na wife amaizing wali- enjoy ila nakumbuka tulisema week end itabidi tutafute sehem tutulie kidogo mkuu
Hahahah naona mvua inataka sifa hiiHuku mafuriko hamna boss, ila hii masika mwaka huu kuna kitu inatafuta.
Palikuwa poa sana mkuu..Tulikaa Gorofani kabisa pale...Ilikuwa poa sana...Na haita kuwa mbaya hata week end hii tukiwapeleka hawa warembo wetu tena maana naona walii-enjoy sana..Nakumbuka sana kaka. Sema na mvua hii huko sea breeze palikuwa poa kweli?
Basi tujichanganye tufanye hivyo brazaPalikuwa poa sana mkuu..Tulikaa Gorofani kabisa pale...Ilikuwa poa sana...Na haita kuwa mbaya hata week end hii tukiwapeleka hawa warembo wetu tena maana naona walii-enjoy sana..
paroko kumbe upo.Hana ukali nataka kuona kama maanisha, mrushie m pesa kwanza kama 700,000/=
Hala ndo ulete nyimbo zako