Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
mzuriiiii

mzuriiiii

Kunatisha jamaan dahKibiti !
Watu wanalenga kichwa wala sio kifua..
Ooh!
Wee nshakusomaa mkuu kumbe unanizungushaa while wewe ndo maalimu hapaUsijali nitakusogezea
Morning mkushi wa kusimornn shululu
Hata Transcend huwa anafurahi wewe kuachwa?Unajua shemela unajuaje kama mtu anakupenda
Wewe ikitokea labda nina mikwaruzo na baba d huwa nakuona aisee huwa unaongea ya moyoni hutaki kuona me na baba d tupo tofauti sio kama wengine jamaan wanafurahi kuwa nimeachwa sijui tumeachana ndio maisha lakini unajua jinsi ya kuishi na kila aina ya mtu
Na mara nyingi upo upande wangu sio siri sikujui shemela lakini unaonekana una roho nzuri sababu ya kukuona hapa jukwaani pamoja na kuwa sijui unafananaje
Hana nguvu wanasemaMaaaaaaamaaaaah ...jamaaa naye atakuwa ndo waleee nini
Hivi nyie mtaacha lini kuangalia mweziMfungo 29 leo, hivyo mfungo unatimia leo au bado siku moja!
Hahahh najua lakini hakuna namnaWatu wanaumiaa mjuee
Apo mkuu wa husna au au lakini unataka kumzawadiaaOngea na Husna nikukabidhi
.....
Oyooooooooooo!Week end raha![]()
Ukimuona Husna mwambie aje kuuchukua mkoba wake aliousahau kabla mbuzi hawajautafuna
..
NimemuonaaAsanteee Baba D alikuwa anakuulizia
Bila kutembelea kapuku forum psychology yako haitakuwa fresh
morning Mwifwa......

Afu vile vingine umeamua kuweka kwenye mkoba ili umstiri eeh?We mwambie aje kuuchukua
![]()
![]()
![]()
.....


Subilia kuandama kwa mweziConfirmed?
Wee nshakusomaa mkuu kumbe unanizungushaa while wewe ndo maalimu hapa

Vipi tena jamaan THata Transcend huwa anafurahi wewe kuachwa?
Mimi sijui ila tayari nina kanzu, kilemba na sandles matataaaaMfungo 29 leo, hivyo mfungo unatimia leo au bado siku moja!
Hivi nyie mtaacha lini kuangalia mwezi
Sisi hata tukiona nyota angani tunakula sikukuu
![]()
![]()
![]()
......

Naonaaa umeongezaa na kondooo ...ongeraaaHapa wakiwa mjini wanazurura![]()
Usimwamini mzee wa ulozi hakuna mbuzi watu
.....