Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mh mshkaji wangu mbona nyie wachoyo hivyoo muache kutualika sisi me mwenyewe nasubili mialiko hapo kwa marafikiFresh mshikaji wangu, holiday ndio hiyoooooo, tualikane basi
Mh mshkaji wangu mbona nyie wachoyo hivyoo muache kutualika sisi me mwenyewe nasubili mialiko hapo kwa marafikiFresh mshikaji wangu, holiday ndio hiyoooooo, tualikane basi
Fresh Tu hukuNzuri mkuu, pande hizo vip
Roho ya mukongo [emoji134] [emoji134]Mama yangu shikamoo umeamshwaje roho ya mukongo
Hao jamaa sio watu wazuri shemela[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaha subiria Kwa BlessedHope[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Na mm natafuta mwaliko make wekeend ndefuu
Kanumba kamfanyaje shemela ujue kila mwanaume anaetembea nae lazima aseme kuwa ananuka aiseeAmshukuru sana kanumba
Hahahaha mshikaji wangu, au tualikane sasaMh mshkaji wangu mbona nyie wachoyo hivyoo muache kutualika sisi me mwenyewe nasubili mialiko hapo kwa marafiki
Nakupenda sana shemela sababu unanipenda toka moyoniii Mungu azidi kukuwekaAsante shemela wangu wa ukweli kwa kuyapitia
Ndioo Shemela kwani huoniRoho ya mukongo [emoji134] [emoji134]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwamba anachoma mkaaHahaha nikimuona tetra nakumbuka kipindi upo porini alivyokuwa anakuua na shemela shululu
Mshkaji wangu hata madame s jamaan anashindwa kunialika kwakweli mimi eid huwa hainikuti home ni kwa marafiki wenye dini yao wanialike wasinialike wanajua me mgeni waoHahahaha mshikaji wangu, au tualikane sasa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] hapa wanafuga vyuraa..Baba D hapo si kibiti au
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahah kumbe jangwani [emoji23] nilijua huyo boda ni askari
Sawa ila isiwe mialikooNitakupm Baba D
Nambondaa kwanza ndo anielezee vizur[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila shemela mna dhambi mjue mlimuua baba d jamaan mara kwa nini msiende wote porini unajiamini niniiii kama huko yupo na mwenzio ila mlikuwa mnaniuzi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwamba anachoma mkaa
Naona ata wa updates leo kauchunaaMh mshkaji wangu mbona nyie wachoyo hivyoo muache kutualika sisi me mwenyewe nasubili mialiko hapo kwa marafiki
Hahah ila we ni mchokozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilipitiwa usingizi, naona ulifunga dimbaNimeamka poa shemela jana naona ukanikimbia
Hahahaha itabidi akupe mwaliko Tu Hamna namna tena.Mshkaji wangu hata madame s jamaan anashindwa kunialika kwakweli mimi eid huwa hainikuti home ni kwa marafiki wenye dini yao wanialike wasinialike wanajua me mgeni wao