BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Asante mkuu Bitoz
kumbee10/Pigeon
Njiwa ni wabaya kwa kusikiliza wambea jamani kinachowazuia wasigeuke kasuku ni kushindwa kukariri maneno/matamshi tu![]()
Njiwa pia ni mmoja kati ya wanyama wanne wenye akili ya kuweza kujitazama kwenye kioo na kugundua ni wao.....Prove it
Wana uwezo wa kusikia sauti kutoka umbali mrefu ...uwezo wao wa kusikia ni kati ya 200 hadi 10,000 Hz
........
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
hahahhah nimeonaMenooo yoteee injees
Bia kama zilivyo Serengengeti, kilimanjaro nk. Ni maarufu sana kanda ya ziwa hasa Kagera, Mwanza na Mara
kheeee yaan we madenge7/Owl![]()
![]()
Ana macho ya kuvutia
Bundi hapendwi kabisa na wanadamu huusishwa na nuksi/mkosi ila kwangu mimi namchukulia kawaida tu siamini masuala ya ushirikina....km kuna mtu anajua kuroga aroge nishindwe kumalizia mada tuone
Huyu uwezo wake wa kusikia ni mzuri
Anasikia kati ya 200 Hz hadi 12 Khz
......
[emoji120]Ubarikiwe Shunie
mama maflowers nakuona mzee mwenye mauwa yake kaonekana mama angu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
woiiiiiiiiii [emoji2][emoji4] [emoji4] [emoji4]
Asante Bitoz1/Greater Wax Moth![]()
Huyu ndo bingwa wa kusikia duniani![]()
Ana uwezo wa kusikia X 150 zaidi ya binadamu
Ana uwezo wa kusikia zaidi ya popo
Ana uwezo wa kusikia zaidi ya 300 KHz
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
......
oooh kumbe binamu we mjedaWakati Safari lager ni bia ya raia wenye gwanda (polisi/jeshi) Balimi lager ni bia ya walipa kodi wakubwawakubwa
Ni maneno tu ya chit-chat, sio kwamba ndio amemaanisha nafikiri ni hilo tu mkuu shimba ya buyenze aka mzee wa kolomijeSijafurahia hilo neno uliloniita. Naona u-star wa hapa Makapuku umeanza kukupanda kichwani!
Hahahaa, itakua maana mi mwenyewe siishi bongoTetra hii jau nina mdogo wangu anapenda sana kuitumia usije ukawa ni wewe sema yeye haishi hapa bongo
My swi uko poa mic you moreHabari zenu wapendwa humu ndani,poleni na majukumu
Mama Mchungaji. Unacheka badala ya kukemea?
Thanks bitoz1/Greater Wax Moth![]()
Huyu ndo bingwa wa kusikia duniani![]()
Ana uwezo wa kusikia X 150 zaidi ya binadamu
Ana uwezo wa kusikia zaidi ya popo
Ana uwezo wa kusikia zaidi ya 300 KHz
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
......