Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Menooo yoteee injeesMama yangu mimi apa kama nakuona![]()

Asantee madengeEnd![]()
........
KaribuuuTOP TEN
Km nilivyowaambiaga siku hizi jioni/usiku huwa nakuwa bize hivyo nawahi kushusha mzigo kisha naendelea na mengine maana hata mtu akiingia jioni/usiku atazikuta tu
Leo tuangalie wanyama kumi "wambeya" yaani wenye uwezo mkubwa wa kusikia
Mara nyingine # zitaweza kuchanganya hivyo mtu aangalie kilichoandikwa pamoja na kipimo cha sauti
Mawimbi ya sauti hupimwa katika hertz
.
.Karibuni
........
.
Say hi to her..ubonge ndio nimempita halaf shemela una kumbu kumbu
Asante mkuuTOP TEN
Km nilivyowaambiaga siku hizi jioni/usiku huwa nakuwa bize hivyo nawahi kushusha mzigo kisha naendelea na mengine maana hata mtu akiingia jioni/usiku atazikuta tu
Leo tuangalie wanyama kumi "wambeya" yaani wenye uwezo mkubwa wa kusikia
Mara nyingine # zitaweza kuchanganya hivyo mtu aangalie kilichoandikwa pamoja na kipimo cha sauti
Mawimbi ya sauti hupimwa katika hertz
.
.Karibuni
........
.
Asante mkuu
Karibuuu
1KhZ = 1000 HzKaribuuu
AsanteeeTOP TEN
Km nilivyowaambiaga siku hizi jioni/usiku huwa nakuwa bize hivyo nawahi kushusha mzigo kisha naendelea na mengine maana hata mtu akiingia jioni/usiku atazikuta tu
Leo tuangalie wanyama kumi "wambeya" yaani wenye uwezo mkubwa wa kusikia
Mara nyingine # zitaweza kuchanganya hivyo mtu aangalie kilichoandikwa pamoja na kipimo cha sauti
Mawimbi ya sauti hupimwa katika hertz
.
.Karibuni
........
.
Dah aisee10/Pigeon
Njiwa ni wabaya kwa kusikiliza wambea jamani kinachowazuia wasigeuke kasuku ni kushindwa kukariri maneno/matamshi tu![]()
Njiwa pia ni mmoja kati ya wanyama wanne wenye akili ya kuweza kujitazama kwenye kioo na kugundua ni wao.....Prove it
Wana uwezo wa kusikia sauti kutoka umbali mrefu ...uwezo wao wa kusikia ni kati ya 200 hadi 10,000 Hz
........
Unamaanisha nini? Tuheshimiane please!Muhuni umerudi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Nakuheshimu zaidi ya MkuluUnamaanisha nini? Tuheshimiane please!![]()
Sijafurahia hilo neno uliloniita. Naona u-star wa hapa Makapuku umeanza kukupanda kichwani!Nakuheshimu zaidi ya Mkulu
![]()
![]()
![]()
......
Ubarikiwe ShunieWapendwa katika Bwana mnaendeleaje me namshkuru Mungu mzima sana muwe na mchana mwema