Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Ulimaanisha nini?Mh kf na nilichokuuliza wapi na wapi kaka
Ulimaanisha nini?Mh kf na nilichokuuliza wapi na wapi kaka
Nimefananaje nae sasa kweli duniani wawili wawili kila kitu mpaka rangiMdogo wake shunie
![]()
Uko sahihi sanaHata akina Einstein,Da Vinci n.k walikuwa upuuzi na mapungufu kibao tu mfano Da Vinci anadaiwa alijihusisha na ushoga
.....
mmh shemela mdogo wangu anaishi marekani asije akawa tetra tu nawaza tu hapaNa yeye hayupo hapa bongo
Na kwako mama ubarikiweNAWATAKIA MCHANA MWEMA ,MUNGU AWABARIKI SANA.
kuna kaukweli hapaEnd![]()
........
basi kama haujaelewa kaka mchana mwema sijamaanisha kapuku forumUlimaanisha nini?
Kasoro ubongeNimefananaje nae sasa kweli duniani wawili wawili kila kitu mpaka rangi

Asante bitozEnd![]()
........
Atakuwa yeye, amini usiamini hiyommh shemela mdogo wangu anaishi marekani asije akawa tetra tu nawaza tu hapa
mmh sitaki kuamini shemelaAtakuwa yeye, amini usiamini hiyo
ubonge ndio nimempita halaf shemela una kumbu kumbuKasoro ubonge![]()
![]()
![]()
KaribuuuTOP TEN
Km nilivyowaambiaga siku hizi jioni/usiku huwa nakuwa bize hivyo nawahi kushusha mzigo kisha naendelea na mengine maana hata mtu akiingia jioni/usiku atazikuta tu
Leo tuangalie wanyama kumi "wambeya" yaani wenye uwezo mkubwa wa kusikia
Mara nyingine # zitaweza kuchanganya hivyo mtu aangalie kilichoandikwa pamoja na kipimo cha sauti
Mawimbi ya sauti hupimwa katika hertz
.
.Karibuni
........
.
Unamaanisha pat123?basi kama haujaelewa kaka mchana mwema sijamaanisha kapuku forum
Nafurahi kusikia hivyo,pole dear am Blessed to have you he re ubarikiwe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
am always praying for your success.....God Bless you![]()

AsanteeLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa Njema.
NzuriiiiBaba D za wewe apo
AmiiiiiinaaaaaWapendwa katika Bwana mnaendeleaje me namshkuru Mungu mzima sana muwe na mchana mwema