BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Tuko poa na wewe unaendeleajeLeo ulikuwa mwendo wa kuchungulia humu ndani ....lakin niko poa hope kwa wote
Tuko poa na wewe unaendeleajeLeo ulikuwa mwendo wa kuchungulia humu ndani ....lakin niko poa hope kwa wote
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unamaanisha nini? Tuheshimiane please!![]()
Bhinamu nibipWakati Safari lager ni bia ya raia wenye gwanda (polisi/jeshi) Balimi lager ni bia ya walipa kodi wakubwawakubwa
Nakuonaaaaaa Mama[emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Sijafurahia hilo neno uliloniita. Naona u-star wa hapa Makapuku umeanza kukupanda kichwani!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mazoea yana tabuAfu wewee ntakuchapa ujue
Nimekupata ObeMuhuni ni nani? Inategemea na context naamini, mfano! Mksenge yule anajua sana kukaba ( hii kwa watu wa mpira mnajua kabisa haihusiani na sexuality) bali anasifiwa kwa uwezo mkubwa wa kukaba kama Ng'olo Kante au mimi enzi zangu.
Inategemea pia na siku. Ukiwa kwenye siku zako, za hasira hata mtindi utauchukia kisa umechacha
Akikujibu nishitueVipi tena kuchapana!? Una hamu?
Bhinamu nibip
Ila wewewoiiiiiiiiii [emoji2]
Akikujibu nishitue
[emoji122] [emoji122]Ni maneno tu ya chit-chat, sio kwamba ndio amemaanisha nafikiri ni hilo tu mkuu shimba ya buyenze aka mzee wa kolomije
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa wadudu kuwala watamu sana. Wana ladha ya embe mawazo
InaumaaaYaani leo kashinda na tabasamu na maua yaani flowers kayamwaga kinomanoma yaani anayajaza tu anasubiri kujazwa pia
UsiofuOhoooo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1]Wakati Safari lager ni bia ya raia wenye gwanda (polisi/jeshi) Balimi lager ni bia ya walipa kodi wakubwawakubwa
Namshukuru Mungu naendelea vizuriiTuko poa na wewe unaendeleaje
Udiiipuu kwa ile sio ya mwanzo make majanga tayari ..ntakusimuliaaNachaji simu saa hizi nikimaliza tu nakudipu (beep)
[emoji4] [emoji4]....hicho ni kicheko kemezi ( kicheko cha kukemea)