Makapuku Forum

Makapuku Forum

Watu wanachopinga ni "kauli" siyo msimamo
Ameongea kama vile ni mzee muhuni muhuni tu .....hajaongea kama "Rais"
Angeweza kusema "kuwaruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo siyo sahihi na angeeleweka ila siyo kuongea kwa kebehi,masimango,dharau n.k
.......
Uko sahihi sana, kauli kama ile haipaswi kutoka kinywani mwa kiongozi
 
Nawatakia Asubuhi njema ...!!
b5c0036286c55276815989df064d3aab.jpeg
 
[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253]
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]

MUNGU AKUPE KUSHINDA...UPITAPO KATIKA MAJI MENGI,HUTAGHARIKISHWA,MWAMINI MUNGU HAYO YOTE YATAPITA....[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji4] [emoji7] nipo busy tu Mpendwa, Hakuna magumu nipitiayo.....namshukuru Mungu.....thanks for caring[emoji120] [emoji7] [emoji8]
 
[emoji4] [emoji7] nipo busy tu Mpendwa, Hakuna magumu nipitiayo.....namshukuru Mungu.....thanks for caring[emoji120] [emoji7] [emoji8]
Nafurahi kusikia hivyo,pole dear am Blessed to have you he re ubarikiwe [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253]

am always praying for your success.....God Bless you[emoji7]
 
1972 - Watergate Scandal: Rais wa Marekani Richard Nixon na Mnadhimu Mkuu wa Ikulu ya Whiye House wanarekodiwa mipango yao ya kutaka kutumia CIA kuharibu upelelezi uliofanywa na FBI kuhusiana na Skendo hiyo nzito kuwahi kutikisa Marekani.
 
Back
Top Bottom