Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Tetra hii jau nina mdogo wangu anapenda sana kuitumia usije ukawa ni wewe sema yeye haishi hapa bongoKufichwa ni jau, unaweza kugutuka jua likiwa linatoka kaskazini kwenda kusini
Tetra hii jau nina mdogo wangu anapenda sana kuitumia usije ukawa ni wewe sema yeye haishi hapa bongoKufichwa ni jau, unaweza kugutuka jua likiwa linatoka kaskazini kwenda kusini
Nawe pia mrs. LeeWapendwa katika Bwana mnaendeleaje me namshkuru Mungu mzima sana muwe na mchana mwema
Sitakaa nistaafu kfKwani sasa hivi umestaafu kaka yangu
Mh kf na nilichokuuliza wapi na wapi kakaSitakaa nistaafu kf
Ubarikiwe dingimtotoNawe pia mrs. Lee
Hata akina Einstein,Da Vinci n.k walikuwa upuuzi na mapungufu kibao tu mfano Da Vinci anadaiwa alijihusisha na ushogaMara nyingi wenye akili nyingi, kwa upande mwingi hufanya vitu vya kipuuzi sana