Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/Greater Wax Moth
f060a148aeb290951d6e787bd7b5f9c6.jpg
d6acd978bec423e47289cdbebd8c56a3.jpg
2aa2b74271d1c9ddcdae2ab00e28a34f.jpg
Huyu ndo bingwa wa kusikia duniani
Ana uwezo wa kusikia X 150 zaidi ya binadamu
Ana uwezo wa kusikia zaidi ya popo
Ana uwezo wa kusikia zaidi ya 300 KHz
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
......



Hawa wadudu kuwala watamu sana. Wana ladha ya embe mawazo
 
Ni maneno tu ya chit-chat, sio kwamba ndio amemaanisha nafikiri ni hilo tu mkuu shimba ya buyenze aka mzee wa kolomije


Muhuni ni nani? Inategemea na context naamini, mfano! Mksenge yule anajua sana kukaba ( hii kwa watu wa mpira mnajua kabisa haihusiani na sexuality) bali anasifiwa kwa uwezo mkubwa wa kukaba kama Ng'olo Kante au mimi enzi zangu.

Inategemea pia na siku. Ukiwa kwenye siku zako, za hasira hata mtindi utauchukia kisa umechacha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom