Makapuku Forum

Makapuku Forum

2afe30ca7935010fcf30d58fa46e5b43.jpg
 
4/Dolphin
d9e02e5c027507fec8dd7c233e059f62.jpg
ee738802f0c43cba03445faee50d7cc5.jpg

Jana niliwazungumzia pomboo kwamba meno yao ni kama tree rings kiasi kwamba unaweza kuyavunja na wataalamu hupendelea kuyatumia kugundua umri wao
Pomboo pia wana uwezo mkubwa wa kusikia
Kusikia kati ya 75 Hz hadi 150 KHz
........
 
7/Owl
5c5b6e7fe7486ebaec693e5337712ed5.jpg
451afd2771a955dbd20609f4fcbf302f.jpg

Ana macho ya kuvutia
Bundi hapendwi kabisa na wanadamu huusishwa na nuksi/mkosi ila kwangu mimi namchukulia kawaida tu siamini masuala ya ushirikina....km kuna mtu anajua kuroga aroge nishindwe kumalizia mada tuone
Huyu uwezo wake wa kusikia ni mzuri
Anasikia kati ya 200 Hz hadi 12 Khz
......
Nadhani anatumika vibaya kwenye nguvu za giza na watu wanaojaribu kushindana na nguvuvza Mungu
 
3/Bat
c23d4743d35f58ef50039f87f6a1b873.jpg
a8af410e7106bbbbf20b279876b9ec95.jpg
e47f6dcfeef8ad95bbf2cf34d1d90b36.jpg

Popo ni ndege au ni mnyama ?....Tutabishana hadi kesho pengine mwaka mzima
Huyu bwana ananyonyrsha ila anaruka/paa angani kama kawa
Inasemekana mchana hawaoni kabisa ila Usiku wanaona bila chenga
Anasikia kwa kiwango cha kuzidi hata 210 KHz
......
 
TOP TEN
Km nilivyowaambiaga siku hizi jioni/usiku huwa nakuwa bize hivyo nawahi kushusha mzigo kisha naendelea na mengine maana hata mtu akiingia jioni/usiku atazikuta tu

Leo tuangalie wanyama kumi "wambeya" yaani wenye uwezo mkubwa wa kusikia
Mara nyingine # zitaweza kuchanganya hivyo mtu aangalie kilichoandikwa pamoja na kipimo cha sauti
Mawimbi ya sauti hupimwa katika hertz
.
.Karibuni
........
.
Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom