Makapuku Forum

Makapuku Forum

1976 - Patrick Vieira anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Arsenal, Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa.

Alikuwepo katika kizazi cha dhahabu cha Ufaransa kilichotwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1998 katika ardhi ya nyumbani.

Klabuni Arsenal anakumbukwa kwa mchango wake mkubwa sana katika eneo la kiungo cha kukaba.
 
Leo Katika Historia:

1887 - Banff National Park yaanzishwa huko Canada.

Ni moja kati ya hifadhi kongwe zaidi Duniani.
37604cf1739598a99e7f9f5a74fdcdca.jpg
974b66ffcca94ec1249f34d6fdc4f6e4.jpg

Ina ukubwa wa Kilometa za mraba 6641
Mchakato rasmi ilianza mwaka 1885......linapatikana kwenye safu za milima ya Rocky Mountains
Inaparikana katika umbali wa Km 110--180 Magharibi mwa Calgary katika jimbo la Alberta
.........
 
1972 - Watergate Scandal: Rais wa Marekani Richard Nixon na Mnadhimu Mkuu wa Ikulu ya Whiye House wanarekodiwa mipango yao ya kutaka kutumia CIA kuharibu upelelezi uliofanywa na FBI kuhusiana na Skendo hiyo nzito kuwahi kutikisa Marekani.
95e51bb37f4b634253b967fa842e34fd.jpg
8c7cedb2dbff7355ba12ba10225efc5b.jpg
Ikumbukwe alikuwa ameshajiuzulu Juni 17 baada ya skendo kuwa kaa la moto...siyo huku kwetu Andrew Change ana skendo zaidi ya 10 lakini ni mwenyekiti wa bunge anadunda tu ....Daudi Bashite naye ni balaa
c8b06004fa5c679f0e9f4f6ad7e878e9.jpg
8b3fa8d790ac15df39decfa27551d0a0.jpg
Zipo filamu kibao zimechezwa ili tu kuakisi tukio hilo na mambo ya nyuma ya pazia
......
 
2016 - Uingereza yapiga kura ya kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya ( EU ).
923e394f0b3482fa28f1f028c9b98c94.jpg
77687f96d9187f50896216ebf895f958.jpg
Na kura zikatosha
Waingereza ni miongoni mwa watu wanaojisikia sana wanadai umoja huo hauna manufaa kwao(inawezekana ni kweli) ila ni wajivumi hata katika soka wanajiona wao ni zaidi ya FIFA na kung'olewa kwa Blatter kuna mkono wao na Wamarekani nyuma ya pazia
.......
 
1945 - John Garang anazaliwa.

Alikuwa ni Rais wa Sudan ya Kusini.

Alifariki kwenye ajali ya Helikopta.
30d4a025128205fa4b31c01b295389a5.jpg
77a1ea478b849d268e55861eb390f8e1.jpg
Mdau Garang hajawahi kuwa Rais wa Sudan Kusini bali tu mwasisi wa Taifa hilo hadi wakati anafariki Sudan Kusini haikuwa nchi/bado haikupata Uhuru....kawahi tu kuwa sijui Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Sudan ya Omar Bashir
24c3d56c0fce4b6614ae258417a21785.jpg
a371e0879bf44255878905b3784a33dc.jpg
Huyu jamaa mvuta bangi ambaye huko ni Waziri ni mwanawe
Jamaa ni mchafumchafu na Vituko kibao ila ana IQ kubwa fuatilieni interview zake
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom