fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,030
No, siyo hivyo.Hivi..
![]()
No, siyo hivyo.Hivi..
![]()
Uko poaa bob
Zinaenda bob sema umeadimikaa inabidi turudishe makali yetu kundiniiiMzima wa afya bob..vp ala carte lakini..
Hill ni pua jamaa kainua kichwa huyoo
Uache ugomvi wee madenge umesahau bichwa LA baba yako yule Wa kwenye sani
Madenge leta mbuzi wako leo hapaa....
Mambo ya balimi makinikia na wahamiaji ......
Punguza hizo mambo mpendwa ukiacha BH utampata faster tu
NenoWatu wanachopinga ni "kauli" siyo msimamo
Ameongea kama vile ni mzee muhuni muhuni tu .....hajaongea kama "Rais"
Angeweza kusema "kuwaruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo siyo sahihi na angeeleweka ila siyo kuongea kwa kebehi,masimango,dharau n.k
.......
Itakuwa vyema ...mimi mama ashura namalizana nae...heeeh, ! Hebu jioni tukutane tuongee masuala ya kihisia zaidi mimi na wewe
Nawe piaAhsanteni wadau wote mlioniamsha asubuhi kwa mawili matatu
Niwatakie siku njema
......
Mama kadata
Asante mama mchungajiUbarikiwe sana mkuu Shululu kazi yako ni njema asante
Ni aina ya biaHv balimi ndio pombe gani?! Au ni aina mpya ya bia?
Kuuliza sio ujinga msinicheke
Pamoja sana husna muba mpendwa wa ObeAsante mkuu
Mukongo morningGoodmorning Wapendwa.....Me nipo, mambo yamekuwa mengi.....Mungu awalinde na kuwabariki.
BH love mingi sana kwako, I love love love you![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aisee duhUkipata mimba kaa nyumbani ulee aliekutiA mimba akuoe muendelee kutiana mimba zingine