shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante kiongozi kwa historiaLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa Njema.
Asante kiongozi kwa historiaLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa Njema.
Alikuwa Rais wa Chama cha SPLM, kwa kwetu huku ni mwenyekiti wa Chama
Mdau Garang hajawahi kuwa Rais wa Sudan Kusini bali tu mwasisi wa Taifa hilo hadi wakati anafariki Sudan Kusini haikuwa nchi/bado haikupata Uhuru....kawahi tu kuwa sijui Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Sudan ya Omar Bashir![]()
Huyu jamaa mvuta bangi ambaye huko ni Waziri ni mwanawe![]()
Jamaa ni mchafumchafu na Vituko kibao ila ana IQ kubwa fuatilieni interview zake
......
1972 - Zinedine Zidane anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Juventus, Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa.
Ni kocha wa sasa Real Madrid.
Ameshinda mataji yote katika soka. Ni mmoja wa wachezaji bora wa kizazi chake.
1976 - Patrick Vieira anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Arsenal, Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa.
Alikuwepo katika kizazi cha dhahabu cha Ufaransa kilichotwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1998 katika ardhi ya nyumbani.
Klabuni Arsenal anakumbukwa kwa mchango wake mkubwa sana katika eneo la kiungo cha kukaba.
Mambo ya mapendo haya, mwanikumbusha mbaali sana, enzi za akina ameizing, pat123, lizie daaah![]()
nipo busy tu Mpendwa, Hakuna magumu nipitiayo.....namshukuru Mungu.....thanks for caring
![]()
![]()
![]()
Dada wa mapendoNafurahi kusikia hivyo,pole dear am Blessed to have you he re ubarikiwe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
am always praying for your success.....God Bless you![]()
Asanteni kwa historia na picha wakuu Mussolin5 na Bitoz mbarikiweLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa Njema.
HBD Zinadine Zidane1972 - Zinedine Zidane anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Juventus, Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa.
Ni kocha wa sasa Real Madrid.
Ameshinda mataji yote katika soka. Ni mmoja wa wachezaji bora wa kizazi chake.
Kazi njemaLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa Njema.
HBD John Garang1945 - John Garang anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa Sudan ya Kusini.
Alifariki kwenye ajali ya Helikopta.
HBD PatrickVieira1976 - Patrick Vieira anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Arsenal, Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa.
Alikuwepo katika kizazi cha dhahabu cha Ufaransa kilichotwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1998 katika ardhi ya nyumbani.
Klabuni Arsenal anakumbukwa kwa mchango wake mkubwa sana katika eneo la kiungo cha kukaba.
Mara nyingi wenye akili nyingi, kwa upande mwingi hufanya vitu vya kipuuzi sana
Mdau Garang hajawahi kuwa Rais wa Sudan Kusini bali tu mwasisi wa Taifa hilo hadi wakati anafariki Sudan Kusini haikuwa nchi/bado haikupata Uhuru....kawahi tu kuwa sijui Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Sudan ya Omar Bashir![]()
Huyu jamaa mvuta bangi ambaye huko ni Waziri ni mwanawe![]()
Jamaa ni mchafumchafu na Vituko kibao ila ana IQ kubwa fuatilieni interview zake
......
Nauli ondoa shakaKaribu sana Tanga(Lushoto) ila andaa nauli yako ya kuja na kurudi kwenu. Chakula na maji ntakupatia bureee kabisa.
Unajaribu kunitisha sio mi Nina Roho ngumu nitakuja tuKaribu mkuu Niko kibiti stendi hapa

Baba D za wewe apoAsanteee
Hawakutegemea. Nina shemeji yangu amechukua uraia wa huko alikuwa shabiki sana wa Brexit sasa anajuta balaa. Makampuni makubwa yameanza kuhamisha makao makuu yao kutoka London kwenda Frankfurt. Na huyu mama Theresa May nadhani ni Ms. Dhaifu. Na haijulikani kitakachotokea...Mwaka mmoja Sasa umepita, waingereza wanajuta kujitoa
Kwani sasa hivi umestaafu kaka yanguMambo ya mapendo haya, mwanikumbusha mbaali sana, enzi za akina ameizing, pat123, lizie daaah
Mama yangu mimi apa kama nakuona![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
MUNGU AKUPE KUSHINDA...UPITAPO KATIKA MAJI MENGI,HUTAGHARIKISHWA,MWAMINI MUNGU HAYO YOTE YATAPITA....![]()
![]()
![]()
![]()

Baba mchuchuGoodmorning Wapendwa.....Me nipo, mambo yamekuwa mengi.....Mungu awalinde na kuwabariki.
BH love mingi sana kwako, I love love love you![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()