Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji13] [emoji13] kodooooo.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji13] [emoji13] kodooooo.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253]Goodmorning Wapendwa.....Me nipo, mambo yamekuwa mengi.....Mungu awalinde na kuwabariki.
BH love mingi sana kwako, I love love love you[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji173] [emoji7]
[emoji13] [emoji13] kodooooo.....
[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253]
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
MUNGU AKUPE KUSHINDA...UPITAPO KATIKA MAJI MENGI,HUTAGHARIKISHWA,MWAMINI MUNGU HAYO YOTE YATAPITA....[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kutoka mkuu ...mpendwa na sasa mwaya
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukipata mimba kaa nyumbani ulee aliekutiA mimba akuoe muendelee kutiana mimba zingineYuko sawa kivipi??
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mmmmmh mwendo wa kutiana au siyooUkipata mimba kaa nyumbani ulee aliekutiA mimba akuoe muendelee kutiana mimba zingine
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Bhinamu akitekenyaa nyuzi za gitaa[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Karibu mkuu Niko kibiti stendi hapaJamani nasubiri ukaribisho wa ID MUBARAKA
[emoji120] [emoji120]Ubarikiwe
Nawe pia saaAhsanteni wadau wote mlioniamsha asubuhi kwa mawili matatu
Niwatakie siku njema
......
Thanks.Kuna wakati unahisi umebaki peke yako kwa kuwa ndugu jamaa n'a marafiki wamekutenga lakini nikuambie ni kweli watakutenga lakini yuko mmoja tu ambaye hatakutenga naye ni Mungu muumba wa mbingu n'a ardhi Mungu wa Abraham Isaka n'a yakobo
Huyu pekee atakurudishia tena hao waliokutenga
Asubuhi njema makapuku forum
Karibu mkuu Niko kibiti stendi hapa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huyu ndio alivyo jamani tumzoee tu maana ndio prezdaa wetu tenaa hatuna ujanjaaWatu wanachopinga ni "kauli" siyo msimamo
Ameongea kama vile ni mzee muhuni muhuni tu .....hajaongea kama "Rais"
Angeweza kusema "kuwaruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo siyo sahihi na angeeleweka ila siyo kuongea kwa kebehi,masimango,dharau n.k
.......