BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
WARUMI 831.Basi ,tuseme nini juu ya hayo?MUNGU akiwa upande wetu,ni nani aliye juu yetu.
Asante BABA kutufukisha jioni hii salama,hakika tunakuona MUNGU katika kila jambo asante kwa amaani ,upendo,furaha,umoja na mshikamano mahali hapa ,hakuna kama wewe mfalme wa amani asante kututia nguvu,kutupa tumaini kilabtulipotaka kushindwa siku ya leo,ulitupa kushinda,ulitushika mkono hukutuacha...upo upande wetu daima tunakuona katika kila hatua ya maisha yetu..asante BABA kwa ushindi huu tutakupenda na kukushukuru daima maana hakuna kama wewe.Baba jioni ya leo endelea kutuangalia hata tuimalize siku salama tukifundishana na kupeana mambo sawa na utukufu wako,asante maana utatupa kushinda..endelea kutuponya,endelea kutatua changamoto mbalimbali tunakutegemea wewe tu.
Tunaomba na kushukuru Amen
JIONI NJEMA WAPENDWA

na kwako pia Mama ubarikiwe sana