shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ukimkuta kapikwa unakula tuAah
Huyo siili kwa kweeli, sio kwa meno hayoo

Hakika hakuna cha kupungukiwa...Pole kwa mnaopigwapigwa ban
Sijawahi kupigwa ban
Huwa najiepusha na migogoro
Hata mtu anitukane huwa namuignore
Nitapungukiwa nini?
......
Binamu asante kwa music ...hope uko poaa ??Uliniita kimya kimya labda 🙂, nilikuwa na ishu zimenibana bana kidogo, ila thanks nimezipunguza kwa sana tu. Uko poa lakini? Nimekumiss
Muziki: Kuelekea Furahiday
Najua mmekuwa na siku nzuri na zaidi ni siku nzuri kwa sababu tunaelekea kuitafuta Ijumaa. Na kwa wote waliofunga na mimi ninayefunga usiku ninapolala na kufungulia mchana naamini leo zimebaki siku hazijai kiganjani nifungulie. Au ninaweza kufunga hata zile sita kama hali itaruhusu. Una tatizo na hili?
Habari za kuuawa polisi kule Kibiti hazivutii hata kidogo, hakuna kifo kidogo wala kikubwa lakini ni tatizo kubwa sana pale askari wa polisi anapouawa. Hakuna jambazi anayeua polisi, amini hilo nakwambia. Ikitokea polisi anauawa basi tambua kuwa kuna zaidi ya ujambazi. Pole kwa familia za askari polisi waliuouawa wakitimiza wajibu wao. Maneno haya hayamaanishi nawapenda polisi, namchukia anayeua polisi wetu, hii si sawa hata kidogo. Hili ulijue pia na sitojali utatafasiri vipi, polisi wanatulinda na tuko salama sana kwa sababu wao wapo hata kama wana makandokando kibao yanayokera. Hongera kwetu tunaowachukia polisi wachache wanaonyanyasa raia ila tunalaani kwa nguvu zote polisi wetu wazuri kuuawa na maharamia tunayokaa nayo mtaani.
Sina mengi leo ila leo nimeamka kipinzani pinzani tu utasema sijui ni diwani wa kata gani sijui. Hivi ni sahihi kabisa kusema binti/mtoto wa kike anapopata mimba asisomeshwe? Naamini hii si sawa na ninaweza kukubaliana kutokubaliana nawe kuwa kila mtoto ana haki ya kusoma maana ni haki ya msingi ya kila mmoja, anayechepuka na kuchepukia. Tumuache mwanafunzi anayebahatika kupata mimba asome akiwa na uwezo wa kusoma. Tuna mengi ya kukarabati, mimba za mwanafunzi si tatizo la kutufanya tupayuke kama mpagawa.
Maslahi hapa, nina binti mdogo na nitajitahidi kumfanya (umri ukifika)ajue kuwa kupata mimba si jambo baya na la kulaaniwa au kukoseshwa fursa ikiwemo elimu. Nitamsisistiza kuwa kuna umri na kupanga ni kuchagua
Muziki ni furaha na kesho ndo hiyo tena, burudika na huyu mdada machachari wa enzi zake diana King, binafsi napenda wimbo wake wa Tenderness lakini siuweki leo huo nakuwekea reggae/dancehall iliyobamba miaka hiyo.
Uwe na wakati mzuri Kapuku mwenzangu
Yaani ,kutofautisha ni ngumu ukiona meno tu,labda uone mwili woteMdomo wake usipouangalia vizuri unafikiri mtu au ngedere kumbe samaki tu
.....
Utajuaje mkuu likishafika jikoni na mahotelin linapewa jina kubwaaaa..na ladha hakika utakulahahah! lile li dragon hata wakiroast vipi nali kataa
Binamu asante kwa music ...hope uko poaa ??
HahahaAah
Huyo siili kwa kweeli, sio kwa meno hayoo
Niko poq kabisaa bhinamu na apa naufukuzia usingiz ...kesho najua mambo yatajipa tuNiko poa mjomba, just kujipanga kuisaka Ijumaa , si unajua yale mambo ya wikend yanajongea.
Uko poa lakini?
Niko poq kabisaa bhinamu na apa naufukuzia usingiz ...kesho najua mambo yatajipa tu
Muziki: Kuelekea Furahiday
Najua mmekuwa na siku nzuri na zaidi ni siku nzuri kwa sababu tunaelekea kuitafuta Ijumaa. Na kwa wote waliofunga na mimi ninayefunga usiku ninapolala na kufungulia mchana naamini leo zimebaki siku hazijai kiganjani nifungulie. Au ninaweza kufunga hata zile sita kama hali itaruhusu. Una tatizo na hili?
Habari za kuuawa polisi kule Kibiti hazivutii hata kidogo, hakuna kifo kidogo wala kikubwa lakini ni tatizo kubwa sana pale askari wa polisi anapouawa. Hakuna jambazi anayeua polisi, amini hilo nakwambia. Ikitokea polisi anauawa basi tambua kuwa kuna zaidi ya ujambazi. Pole kwa familia za askari polisi waliuouawa wakitimiza wajibu wao. Maneno haya hayamaanishi nawapenda polisi, namchukia anayeua polisi wetu, hii si sawa hata kidogo. Hili ulijue pia na sitojali utatafasiri vipi, polisi wanatulinda na tuko salama sana kwa sababu wao wapo hata kama wana makandokando kibao yanayokera. Hongera kwetu tunaowachukia polisi wachache wanaonyanyasa raia ila tunalaani kwa nguvu zote polisi wetu wazuri kuuawa na maharamia tunayokaa nayo mtaani.
Sina mengi leo ila leo nimeamka kipinzani pinzani tu utasema sijui ni diwani wa kata gani sijui. Hivi ni sahihi kabisa kusema binti/mtoto wa kike anapopata mimba asisomeshwe? Naamini hii si sawa na ninaweza kukubaliana kutokubaliana nawe kuwa kila mtoto ana haki ya kusoma maana ni haki ya msingi ya kila mmoja, anayechepuka na kuchepukia. Tumuache mwanafunzi anayebahatika kupata mimba asome akiwa na uwezo wa kusoma. Tuna mengi ya kukarabati, mimba za mwanafunzi si tatizo la kutufanya tupayuke kama mpagawa.
Maslahi hapa, nina binti mdogo na nitajitahidi kumfanya (umri ukifika)ajue kuwa kupata mimba si jambo baya na la kulaaniwa au kukoseshwa fursa ikiwemo elimu. Nitamsisistiza kuwa kuna umri na kupanga ni kuchagua
Muziki ni furaha na kesho ndo hiyo tena, burudika na huyu mdada machachari wa enzi zake diana King, binafsi napenda wimbo wake wa Tenderness lakini siuweki leo huo nakuwekea reggae/dancehall iliyobamba miaka hiyo.
Uwe na wakati mzuri Kapuku mwenzangu
ASANTE OBE...SPEECHLESS...UBARIKIWEMwenyewe hapa nasikia usingizi unakuja na vigelegele, nadhani utakuwa usingizi jike

![]()
![]()
ASANTE OBE...SPEECHLESS...UBARIKIWE
Baba DNa wewe umeuzwaa ??
nahisiHapana au tatizo empire ??
mimi apa baba d kweliWewee huyuu ??
ya mwezi shemelaIlikuwa ya mwezi mkuu