Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Mdomo wake usipouangalia vizuri unafikiri mtu au ngedere kumbe samaki tuAko na rangi poaa ila hayo meno Mmmmh
.....

hahah! lile li dragon hata wakiroast vipi nali kataaMbona wote wanaliwa
Au yanakutisha meno yao tu
.....
kuna movie niliicheck ilikuwa ni majanga ya hawa samaki nikajua ni movie tu... kumbe hivo viumbe vipo kweli..!!
AahMdomo wake usipouangalia vizuri unafikiri mtu au ngedere kumbe samaki tu
.....
Samtaimu unajipu kinyume chake tuHaupungukiwi kitu mkuu na hiyo ndio busara sasA
ASijawahi kupigwa ban kamweNilishawahi kupigwa mara moja, tangu hapo nikaacha kabisa kubishana na watu
Muziki: Kuelekea Furahiday
Najua mmekuwa na siku nzuri na zaidi ni siku nzuri kwa sababu tunaelekea kuitafuta Ijumaa. Na kwa wote waliofunga na mimi ninayefunga usiku ninapolala na kufungulia mchana naamini leo zimebaki siku hazijai kiganjani nifungulie. Au ninaweza kufunga hata zile sita kama hali itaruhusu. Una tatizo na hili?
Habari za kuuawa polisi kule Kibiti hazivutii hata kidogo, hakuna kifo kidogo wala kikubwa lakini ni tatizo kubwa sana pale askari wa polisi anapouawa. Hakuna jambazi anayeua polisi, amini hilo nakwambia. Ikitokea polisi anauawa basi tambua kuwa kuna zaidi ya ujambazi. Pole kwa familia za askari polisi waliuouawa wakitimiza wajibu wao. Maneno haya hayamaanishi nawapenda polisi, namchukia anayeua polisi wetu, hii si sawa hata kidogo. Hili ulijue pia na sitojali utatafasiri vipi, polisi wanatulinda na tuko salama sana kwa sababu wao wapo hata kama wana makandokando kibao yanayokera. Hongera kwetu tunaowachukia polisi wachache wanaonyanyasa raia ila tunalaani kwa nguvu zote polisi wetu wazuri kuuawa na maharamia tunayokaa nayo mtaani.
Sina mengi leo ila leo nimeamka kipinzani pinzani tu utasema sijui ni diwani wa kata gani sijui. Hivi ni sahihi kabisa kusema binti/mtoto wa kike anapopata mimba asisomeshwe? Naamini hii si sawa na ninaweza kukubaliana kutokubaliana nawe kuwa kila mtoto ana haki ya kusoma maana ni haki ya msingi ya kila mmoja, anayechepuka na kuchepukia. Tumuache mwanafunzi anayebahatika kupata mimba asome akiwa na uwezo wa kusoma. Tuna mengi ya kukarabati, mimba za mwanafunzi si tatizo la kutufanya tupayuke kama mpagawa.
Maslahi hapa, nina binti mdogo na nitajitahidi kumfanya (umri ukifika)ajue kuwa kupata mimba si jambo baya na la kulaaniwa au kukoseshwa fursa ikiwemo elimu. Nitamsisistiza kuwa kuna umri na kupanga ni kuchagua
Muziki ni furaha na kesho ndo hiyo tena, burudika na huyu mdada machachari wa enzi zake diana King, binafsi napenda wimbo wake wa Tenderness lakini siuweki leo huo nakuwekea reggae/dancehall iliyobamba miaka hiyo.
Uwe na wakati mzuri Kapuku mwenzangu

Da we una akili nyingi sanaASijawahi kupigwa ban kamwe
Nilovyojiunga JF nilisimangwa kuanzia avatar ile ya tembo,jina ninalotumia,thread ninazoandika n.k
Nishatukanwa vya kutosha ila kwavile hanijui simjui matusi yake huwa napotezea tu
Mfano mtu akikuchukulia ni dogo sijui wa darasa la 7 unampotrzea tu hakuna haja ya kumprove kwamba ni mtu mzima unayejielewa au pengine msomi na una kazi na familia yako
.......

Na wewe umeuzwaa ??Zipo huko nyingii tu watu walikuwa wanaongea waliokuwepo huko yanayofanyika na kutongozana na kuuzana na kusema watu wasiokuwepo
Namjuliaa wapini nani huyo
Hapana au tatizo empire ??anasema mbona mmefanana majina ni id yako nyingine
Asante mpendwa mchana umetembeza like ukasepa nikakuita wee hadi nikachokaaa
Wewee huyuu ??mimi mwenyewe nishapigwa mbili sasa hivi hata nitukanwe hapo kama sio mimi na like naenda kumpa
Ilikuwa ya mwezi mkuuhahaha! ban yako ilikuwa ya muda gani mkuu
Mpendwa wako Obe anapenda ofa za balimi tuMpendwa wangu hauzi muziki