Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
What was is it?na we ungekuepo ban ingekuhusu mana unashindwaga kuvumilia![]()
What was is it?na we ungekuepo ban ingekuhusu mana unashindwaga kuvumilia![]()
Whaaaaat?magroup yenu ya jf huko wasap mambo yanayofanyika
Asante bitoz kwa kumi kubwa1/Squid![]()
![]()
![]()
Ngisi aina ya Colossal squid wanashikilia rekodi ya kuwa wanyama wenye macho makubwa zaidi duniani
Je unataka kupNdikiza meno yake kinywani mwa ngisi ? Ngisi Ndo mnyama ambaye huota neno ya binadamu
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Nashindwa kureply post zenu sababu nabanwa na muda hivyo baadaye kidogo nitarejea
Mwisho
.........
kuna thread mmu huko ilikuwa kuhusu group za jf wasapWhat was is it?
Sasa tatizo liko wapi?kuna thread mmu huko ilikuwa kuhusu group za jf wasap
Aisee MELYZMwanaume, huoni hata mwandiko??
tatizo lipo yanayofanyika huko kwenye group mashuhuda ndio walikuwa wanayaongelea na admin wa hizo group alivyokuwa anawafata pm ili awaunge yaan ni mengi kusema watu wasiokuwepo yaan mengi sana na kuuzana kwa wanaume sijuiSasa tatizo liko wapi?
Kwa nini hazipoNipo... Ila hizo mambo za fungate hakuna siku hizi
Lakini ni kifupiHahah,,,...hilo la melyz sio zuli
Shemela we mtu mzima ujue atakuwa kaachikaKwa nini hazipo
Nafsi inafurahiKumbe ni nn?!
Chelsea nina mashaka nayoMan U + Chelsea + Simba![]()
This is the only bullshit with whatsapp groups..tatizo lipo yanayofanyika huko kwenye group mashuhuda ndio walikuwa wanayaongelea na admin wa hizo group alivyokuwa anawafata pm ili awaunge yaan ni mengi kusema watu wasiokuwepo yaan mengi sana na kuuzana kwa wanaume sijui


Nimeelewa sasaShemela we mtu mzima ujue atakuwa kaachika
hao wengine hawapo pia lakini wamepata ban sisi wenyewe kidogo ingetuhusu me na sakayoThis is the only bullshit with whatsapp groups..
Ila mimi nisingekula ban..! Nakulaje bani wakati siko kwnye magroup![]()
shemela umeanzaaa naipenda toka moyoniiiChelsea nina mashaka nayo
Ndio hivyoooNimeelewa sasa
Naona lee umefungua id ingine.?Natafuta mke lakini kigezo awe mshabiki wa arsenal kwa miaka isiyopungua mitano..lengo kuu ni kupata mwanamke mvumilivu

Mimi sijaona sababu ya watu kula ban ...hao wengine hawapo pia lakini wamepata ban sisi wenyewe kidogo ingetuhusu me na sakayo