Makapuku Forum

Makapuku Forum

4/Prehistoric Shark
c8a3744f454bb15a35b4991afb326691.jpg
ee23a62c4dba7d97689fe527307b0fe6.jpg
274f4872804e817251a08aa753a0b08c.jpg

Hawa ni aina ya papa wenye meno makubwa
Wanaishi kwenye kina kirefu cha maji baharini
Kamwe huwa hawamdhuru binadamu
Ukubwa wa meno yao ni zaidi ya nusu futi
......
Duu
 
Huyu ni samaki aitwae nguva
Story kuwa amefanana n'a mtu hizo ni za kutungwa tu

Ila jua y'a Kwamba ni samaki mwenye aibu sana

Nguva mkubwa ana kilo kati y'a 500-1000
Mara nyingi akigundua Maeneo alipo ni Karibu n'a binadamu anahama kabisa kwenda mbali
08bce2d01cd4b29fef318c565d57db1a.jpg
a1937d8587b746e92630dd54eb9421ae.jpg
f6c65e3e1565e875dbf038bfe1592667.jpg
I seee...anahistoria nyingi lakini picha huoneshwa tofauti na hii mpaka huitwa samaki mtu
 
TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI 22.06.2017
3d0d7cd210ca7ff1fa66962f211b2fd5.jpg



Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa, 28, atakaidi hatua ya Antonio Conte na kukataa kuondoka Stamford Bridge, hadi akubaliwe kurudi Atletico Madrid (Daily Star).

Diego Costa amewaambia Atletico Madrid kuwa anataka kurejea Spain. Kutokana na Atletico kufungiwa kusajili, hata akisajiliwa sasa hatoweza kucheza hadi Januari (Sky Sports).

Thibault Courtois hajasaini mkataba mpya, huku Real Madrid wakimnyatia. Kipa huyo wa Chelsea anataka mkataba wa pauni milioni 10 kwa mwaka (The Sun).

Real Madrid wanasubiri Manchester United kupanda dau la kumtaka mshambuliaji Alvaro Morata, 24, kabla ya mabingwa hao wa Ulaya kuanza kumfuatilia Kylian Mbappe, 18, kutoka Monaco (Diario Gol).

Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane atafikiria kuimarisha safu ya ulinzi kwa kumchukua Leonardo Bonucci kutoka Juventus. Zidane hana mpango wa kusajili mabeki wengine na atatoa nafasi kwa chipukizi ikiwa hawatoafikiana na Juve (Diario Gol).

Hatua ya Ronaldo kubadili mawazo ya kuondoka Real Madrid, imelazimisha Manchester United sasa kuzingatia zaidi usajili wa Alvaro Morata. Jose Mourinho tayari ametenga pauni milioni 60 na wanadhani watamchukua kabla ya mechi za kabla ya kuanza kwa msimu (The Sun).
Cristiano Ronaldo anafikiria kwenda Paris Saint Germain baada ya kupewa dau na klabu hiyo (Marca).

Jose Mourinho ameiambia Manchester United kuachana na Ronaldo na kulenga kumsajili Neymar badala yake (Don Balon).

Juventus wamepiga hatua za mwanzo katika jitihada zao za kutaka kumsajili Matteo Darmian kutoka Manchester United (Sky Sport Italy).

Kiungo wa Manchester City Samir Nasri anatarajiwa kupewa mshahara wa pauni 275,000 kwa wiki, baada ya kukatwa kodi, ili kujiunga na Shanghai Shenhua ya China (The Sun).

Manchester United wamekuwa na mazungumzo na wakala wa Robert Lewadowski katika jitihada za kutaka kumchukua mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Poland na Bayern Munich (Sky Sports)

Zlatan Ibrahimovic anataka kwenda Real Madrid baada ya kuruhusiwa kuondoka Manchester United (Diario Gol).

Mustakbali wa Robert Lewandowski kusalia Bayern Munich utategemea na matokeo ya klabu hiyo ya Ujerumani kutaka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez (The Sun).

Leicester City wanapanga kutoa pauni milioni 25 kutaka kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Kelechi Iheanacho, 20 (Daily Telegraph).


Leicester wanafikiria hatua ya kuchukua baada ya West Brom kuwaambia watahitaji kutoa pauni milioni 10 ikiwa wanamtaka beki Jonny Evans, 29 (Leicester Mercury).

Chelsea wanakaribia kukamilisha usajili wa kiungo Tiemoue Bakayoko, 22, kutoka Monaco kwa pauni milioni 35, hatua ambayo huenda ikasababisha Nemanja Matic, 28, kuondoka na kwenda Manchester United (Daily Mail).

Sakata la Manchester City kumtaka beki wa Tottenham Kyle walker, 27, litaendelea hadi wiki ijayo baada ya Spurs kukataa kushusha bei ya pauni milioni 50. Hata hivyo City wataendelea kumfuatilia pia Dani Alves kutoka Juventus (Independent).

Manchester City wapo tayari kupokea pauni milioni 18 kutoka Lyon ili kumuuza Eliaquim Mangala. City walimnunua Mangala kwa pauni milioni 42 miaka mitatu iliyopita (SportsMole)
Asante kwa dondoo za michezo Lee barikiwa
 
5/Snails
bfa30b876946f2a041d2e3c29c4cc721.jpg
1f7d68cdd7199e24dce4435eac2bc826.jpg
a3baf4cfd35b2a2960315f1149378c30.jpg

Konokono ndio wanyama wenye idadi kubwa zaidi ya meno duniani

Lakini meno yao hayana makali yoyote yaani kama urembo tu...saisi yao ni kunywea uji sio kuvunja mifupa
Konokono wana idadi ya meno 14,000
Na katika uhai wao huota meno karibia 25,000
.......
Haya ni maajabu huwezi amini kabisa lakini mambo ya Mungu na viumbe vyake hayachunguziki
 
3/Dragonfish
23c6c4ae70a93fa9f70c50111b63db57.jpg
8085400016de9dcba2c760ebc2625987.jpg
2db084843307bcd9063dec643a799eb0.jpg
Samaki hawa huishi baharini kwenye kina kirefu......nafikiri wanapatikana Asia pekee kama jina lao Dragon
Ni samaki wenye uwezo mdogo wa kuona na pengine ni vipofu jsbisa hivyo hupendelea kuishi gizani zaidi ili kujilinda na maadui au pengine hawajui raha ya mwanga
Hawa samaki meno yao huota kwenye ulimi badala ya kwenye fizi
.......
I see maajabu ya meno
 
2/Prehistoric Con don't
4058bd4d201b289c27391e9abfc8679f.jpg
e665650c1abe064d71ad96292721f62a.jpg
Ndo mnyama anayeshikilia rekodi ya meno makali zaidi duniani kuwahi kutokea
Keshatoweka duniani miaka mingi iliyopita hivyo hata picha zake ni utata
Aliishi takribani miaka milioni 200 iliyopita
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom