Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kumbe kabla ya uzi kufungwa alimpa makavu yule Kungwi... Ndo a kala ban
Saa ngapi kampa makavu yule mke mwema wa jf sababu espy alikuwa analike tu post zetu akawa anacheka na ushimen mimi kurudi kwenye post imewekwa kufuli na comments zote zimefutwa na we ndio kuniambia espy kapewa ban ujue nisingejua
 
Huyu ndiye watu humuita samaki mtu
Anajulikana kwa jina mermaid

Uhakika kama yupo au hayupo sijui

lakini huishi ndani y'a maji
Mara chache hujitokeza juu ili kuota jua au kupunga upepo

Kama unajua zaidi kuhusu mermaid tafadhali tuambie

Kwanza wapo kweli au ni matengenezo y'a watu
cc9b61eded2f0404b5fa7a036229dbc2.jpg
458ce168f6057899480711b2561c1927.jpg
1198b93eea8fed5dd2ddfc3cb1a687c6.jpg
c41980412b2067d29960b02d03ea8e7f.jpg
466084a42c7317904d3bbfb54a3684a3.jpg
 
Saa ngapi kampa makavu yule mke mwema wa jf sababu espy alikuwa analike tu post zetu akawa anacheka na ushimen mimi kurudi kwenye post imewekwa kufuli na comments zote zimefutwa na we ndio kuniambia espy kapewa ban ujue nisingejua
Mwishoni kabisaa eti naambiwa kampa povu ndo uzi ukafungwa.. Mie sikuona nimekuta pm yake ile nafungua nakutana na ban
 
MITHALI 3

1.Mwanangu,usiisahau sheria yangu ,Bali moyo wako uzishike amri zangu.

2.Maana zitakuongezea wingi wa siku,Na miaka ya uzima.

3.Rehema na kweli zisifarakane nawe,Zifunge shingoni mwako;Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.

4.Ndivyo utakavyopata kibali na akili nzuri ,Mbele za MUNGU na mbele za mwanadamu.

5.Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote,Wala usizitegemee akili zako mwenyewe .

6.Katika njia zako zote mkiri yeye ,Naye atanyoosha mapito yako.

7.Usiwe mwenye hekima machoni pako;Mche BWANA ,ukajiepushe na uovu.

8.Itakuwa afya mwilini pako Na mafuta mifupani mwako.


BABA MUNGU ANASEMA NASI MCHANA WA LEO TUMSIKILIZE TUMTII NA TUCHUKUE HATUA ,TUMTUMAINI YEYE KWA MOYO WOTE TUSITEGEMEE AKILI ZETU ,TUMKIRI ILI ANYOOSHE MAPITO YETU,ATUONGEZEE UMRI WA KUISHI,ATUPE AFYA YA MWILI NA ROHO KAMWE HATATUACHA.

MCHANA MWEMA MBARIKIWE
Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom