Haaaaahaaaa
Aisee10/DolphinKwa kiswahili cha TUKI huitwa pomboo
Huyu huishi baharini
Ana meno ambayo huota kama miti namaainisha unaweza kuyakata/vunja na kisha kuyaangalia na kugundua umri wao(wataalamu wa wanyama wanaelewa)
Meno yao ni kama tree rings
.......
Aiseee alishindwa vumilia nahisi na yule kungwi alimjibu ndio ban ikawahusu hahhah hivi dada kweli haujafatwa pm ujue siamini ushimen alinichekesha sana na espy walivyokuwa wanaongea walivyotukanwa hahahh long live jfMwishoni kabisaa eti naambiwa kampa povu ndo uzi ukafungwa.. Mie sikuona nimekuta pm yake ile nafungua nakutana na ban
Tungeondoka wote borw mods walivyotia kufuli unakumbuka nilimquote yule dada bada ya kucomment kutuponda sijui alituita jina gani lile tukiongozwa na espyPale tusingeponaa
Linakuw km LA kikeHahah,,,...hilo la melyz sio zuli
Tatizo baba d unapenda sana kupuuza vitu nilikutumia ili usome sababu we hautembei mambo ya group za wasap huko jfSikufatiliaa ni ya nini
Man U + Chelsea + SimbaMan United
Duh aisee6/Piranha
Ni aina ya samaki anayepatikana huko Brazil kama jina lake linavyofanana na akina Ronaldinho
Ana meno makali yanayofanana na wembe ambayo humwezesha kupambana na maadui zake pamoja na mawindo
Qana uwezo wakumuua/kumchanachana ng'ombe kwa kutumia meno yao ndani ya sekunde kadhaa tu
.........
hivi humuoniii jamaan mpaka nikuitieCall her please..
na we ungekuepo ban ingekuhusu mana unashindwaga kuvumiliaMmmmh..
umeachika ninii mzee wa poriniNipo... Ila hizo mambo za fungate hakuna siku hizi
Mi mwenyewe nimemtafuta sijamuonaMbona sijamuona mermaidi mweusi katika picha zako??
magroup yenu ya jf huko wasap mambo yanayofanyikaShunie...
What happened..
Mi hâta sielewi ni movie gani hiiMovie gan kiongozi
Aisee hii nilikuwa sijui kabisa5/Snails
Konokono ndio wanyama wenye idadi kubwa zaidi ya meno duniani
Lakini meno yao hayana makali yoyote yaani kama urembo tu...saisi yao ni kunywea uji sio kuvunja mifupa
Konokono wana idadi ya meno 14,000
Na katika uhai wao huota meno karibia 25,000
.......
Kama vile yamechongwa acha Mungu aitwe Mungu...ndugu zangu wa Nchale naona wanachonga kwa mtindo huu
ila me muoga aisee namuogopaje sasa nikiona vile anatembea na kutoa kichwa chake
kweli shemela ujueshemela umenichekesha sana
Aisee2/Prehistoric Con don'tNdo mnyama anayeshikilia rekodi ya meno makali zaidi duniani kuwahi kutokea
Keshatoweka duniani miaka mingi iliyopita hivyo hata picha zake ni utata
Aliishi takribani miaka milioni 200 iliyopita
......