BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Yes it happens,kuzungukwa sana kunadisturb thinking,kukutana kuwe na makusudi maalumu kwakweli
Yes it happens,kuzungukwa sana kunadisturb thinking,kukutana kuwe na makusudi maalumu kwakweli
Sikujua kabisa hili asante
Hahahaha sio kuchorachora[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hata mi siwezi kulala mda wote huoNashindwa kulala muda mrefu hivi nashukuru kumbe ni vema
Ok ilq ni mzuri na unboreshwa kila mara
Ubarikiwe mkuu Bitoz kazi yako ni njema,najifunza mengi asanteEnd![]()
.....
[emoji1] [emoji1] paka haungurumi mkuu analia tuPaka anavyo nguruma yaani sipendagi kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe si uungurume ili ngoma iwe droo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] afu weeweNa wewe si uungurume ili ngoma iwe droo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
DID YOU KNOW ?![]()
AsanteTOP TEN
Siku hizi mambo mengi nisipovunja ratiba basi nitashindwa kabisa kuwaletea segment maana huhitajika muda tulivu ili kuweza kupost
Binadamu ana meno 32 ila tushayazoea na siyo ishu
Sasa nakuletea wanyama kumi wenye meno ya ajabu au wanavutia kuhusu meno yao
Karibuni
....
Hahahaha
Lete vituuuuTOP TEN
Siku hizi mambo mengi nisipovunja ratiba basi nitashindwa kabisa kuwaletea segment maana huhitajika muda tulivu ili kuweza kupost
Binadamu ana meno 32 ila tushayazoea na siyo ishu
Sasa nakuletea wanyama kumi wenye meno ya ajabu au wanavutia kuhusu meno yao
Karibuni
....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji4] jamani loh!
Duuu10/Dolphin
Kwa kiswahili cha TUKI huitwa pomboo![]()
Huyu huishi baharini
Ana meno ambayo huota kama miti namaainisha unaweza kuyakata/vunja na kisha kuyaangalia na kugundua umri wao(wataalamu wa wanyama wanaelewa)
Meno yao ni kama tree rings
.......
Duuuuuuh
Asantee broooEnd![]()
.....