manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,748
Naona nitajiunga naoMasingle mbona wengi sana, kuna akina youngblood, sizzya007, ibra87 na wengine kibao.
Mkuu, karibu ili muanzishe chama chenu.
Weweee... Hakuna cha Ag wala mwenzake na Ag hapa. Kendraaaa huko...
Utakamatwa ugoni wewee, kila mrembo unayemuona humu ameshaolewa tayari.Warembo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Ina maana no single ladies humu?Utakamatwa ugoni wewee, kila mrembo unayemuona humu ameshaolewa tayari.
Sina hakika, dada nikijua mpaka kama kaka zangu hawajui kupetipeti itakuwa too much au sio EMMYGUYAnayeweza kuthibitisha hili ni damtanzania
Jimena kuna ukweli hapa????????[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hawa watu ukiwaruhusu kuita shemdarling kesho atakuja na shemmpenzi.Hahahah umenikumbusha kuna siku shemeji yangu mmoja aggyjay alimwiita jamaa mmoja youngblood hilo jina lilileta shida hapa ndani hapakutosha aisee nadhani ndugu yangu EMMYGUY atasoma hii kitu..
Umetishaaaaaa[emoji119]
Na vile kiswahili chetu wabongo kilivyo kipana.Na huwa ni hatari sana kwa afya ya msomaji unaweza ukaingia chaka mbaya kabisa..Kumbe maana ni tofauti kabisa..
Ni kweli shemeji heshima yangu kwa kaka yangu EMMYGUY bado ipo palepale.
Mgeni karibu [emoji481] [emoji482] [emoji481] [emoji482]Warembo
Huyu jamaa naona haitakii mema ndoa yangu na kipenzi cha moyo wangu aggyjay.Hahahahah Shemeji najua tunaheshimiana sana nilikuwa nasubir ufafanuzi wa heruf ile A ina simama badala ya jina gani.. EMMYGUY toka juzi youngblood naona anakuwa mkorofi sana yaani akipita mahali lazima mtu alalamike kwa ajili yake..
hahaaaa kalight baridi kanavuja jasho....yelewiiiiii pongezi kwa mgunduzi wa haya maji
Mwenyeji asante hayo maji ya Gold sasa[emoji39] [emoji39] [emoji39] sijui founder ni nani.Mgeni karibu [emoji481] [emoji482] [emoji481] [emoji482]
Poa shemeji ntawaita waje hapa...Waite tu shem!