Watu wanachunguza neno kwa neno.Hapana mkuu uwe na amani kabisa.....Wala hakuna haja yakusoma btn the line...
WaremboKama?
Hahahah umenikumbusha kuna siku shemeji yangu mmoja aggyjay alimwiita jamaa mmoja youngblood hilo jina lilileta shida hapa ndani hapakutosha aisee nadhani ndugu yangu EMMYGUY atasoma hii kitu..Shemdarlin hujambo.....
Na huwa ni hatari sana kwa afya ya msomaji unaweza ukaingia chaka mbaya kabisa..Kumbe maana ni tofauti kabisa..Watu wanachunguza neno kwa neno.
Asante shemKaribu sana shem.
Hahahahah Shemeji najua tunaheshimiana sana nilikuwa nasubir ufafanuzi wa heruf ile A ina simama badala ya jina gani.. EMMYGUY toka juzi youngblood naona anakuwa mkorofi sana yaani akipita mahali lazima mtu alalamike kwa ajili yake..
Tuko poa shem....baridi kali tunataman usiku ufike haraka tulale.Shemeji nadhani walichoona itakuwa ni ile zip kuwa wazi tu..Hakuna kingine...Upo poa wewe lakin na ndugu yangu Th Name ?
Dogo hajui kutunza mke nikaona nimsaidie kidogo.Hahahahah Shemeji najua tunaheshimiana sana nilikuwa nasubir ufafanuzi wa heruf ile A ina simama badala ya jina gani.. EMMYGUY toka juzi youngblood naona anakuwa mkorofi sana yaani akipita mahali lazima mtu alalamike kwa ajili yake..
Safi sana shemeji hiyo ni plan nzuri sana maana kuna mtoto nimesikia amesema hali hii ya hewa ni muafaka kwa kilimo cha watoto tu na si vinginevyo.. CC youngblood...Tuko poa shem....baridi kali tunataman usiku ufike haraka tulale.
Kabisa mkuu naongeza list iwe ndefu kidogo maana hao uliowataja hapo wengi wao ni wanywa soda sasa wallet haita feel upungufu...Usisahau kumshtua na shemeji yako amaizing kidogo yuke anauweza mchakamchaka akiwa na lizziebettie ..
Masingle mbona wengi sana, kuna akina youngblood, sizzya007, ibra87 na wengine kibao.Hapo sawa. Halafu inaonekana kuna couple matata humu. Hamna single?
Natumai msaada huo utakuwa si ule wa kuleta madhara...Ni ule wa upendo kabisa kwamba umeamua kumtoa shemeji yako outing baada ya hapo anaenda kufanya shopping na akirudi home anamwambia kabisa mume wake kwamba leo nilikutana na shemji akanifanyia surprise...Siyo?Dogo hajui kutunza mke nikaona nimsaidie kidogo.
Hahahaaaa inafaa kweli, sahv ardhi lainii hamna haja ya nguvu nyingi.Safi sana shemeji hiyo ni plan nzuri sana maana kuna mtoto nimesikia amesema hali hii ya hewa ni muafaka kwa kilimo cha watoto tu na si vinginevyo.. CC youngblood...
Mumy najua vizur sana nini haja ya moyo wako...Lunch tym sasa Mumy si mbaya kupata kamoja tu kwa ajili ya digestion..Asante my huby si unaelewa tena mkeo nnavyopenda maji ya gold....mmmhhhhh haka karoho kakae mbali muda wa kazi huu
Hhahaha.Natumai msaada huo utakuwa si ule wa kuleta madhara...Ni ule wa upendo kabisa kwamba umeamua kumtoa shemeji yako outing baada ya hapo anaenda kufanya shopping na akirudi home anamwambia kabisa mume wake kwamba leo nilikutana na shemji akanifanyia surprise...Siyo?
hahaaaa kalight baridi kanavuja jasho....yelewiiiiii pongezi kwa mgunduzi wa haya majiMumy najua vizur sana nini haja ya moyo wako...Lunch tym sasa Mumy si mbaya kupata kamoja tu kwa ajili ya digestion..