Makapuku Forum

Binamu mimi na wewe tuna ugomvi? au we leo umetokea kuichukia mimba changa

Haha hahahaha, hapana , si hivyo hata kidogo , tigombane mimi na wewe tena, haiwezekani.

Hill la mimba changa hata sijui lilitokea wapi, unajua hii simu sometimes huwa nikiandika jambo moja inaleta jingine. Labda nije niifomati
 
Nilitaka kushangaa binamu labda me na wewe tuna ugomvi halaf sijijui

La mimba changa ni kweli binamu wala simu haijakosea na inanisumbua kweli tena nikisikia hizo habari zenu najisikia hata kichefu chefu

Hii mimba kiboko haitaki habari za makinikia wala wahamiaji haramu wala wale wengine
 
Kumbe haitaki hizi habari , pole sasa ile ripoti ya makinikia itabidi tuizuie serikali kuitangaza

Wahamiaji haramu hawana tatizo na kuanzia leo msako mkali unaendelea kuwaondoa hapa mjini. Uwe na uhakika hutowasikia tena, labda kwa bahati mbaya
 
Ya kweli hayo mpendwa?
 
mkuu shukrani kwa top ten yako.. imetulia
 
Duu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…